您搜索了: wanyama (斯瓦希里语 - 拉丁语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Latin

信息

Swahili

wanyama

Latin

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

拉丁语

信息

斯瓦希里语

lakini ikiwa mtaumana na kutafunana kama wanyama, jihadharini msije mkaangamizana wenyewe kwa wenyewe!

拉丁语

quod si invicem mordetis et comeditis videte ne ab invicem consumamin

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

akakaa huko siku arubaini akijaribiwa na shetani. alikuwa huko pamoja na wanyama wa porini, nao malaika wakawa wanamtumikia.

拉丁语

et erat in deserto quadraginta diebus et quadraginta noctibus et temptabatur a satana eratque cum bestiis et angeli ministrabant ill

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nilichungulia ndani kwa makini nikaona wanyama wenye miguu minne, wanyama wa mwituni, wanyama watambaao na ndege wa angani.

拉丁语

in quod intuens considerabam et vidi quadrupedia terrae et bestias et reptilia et volatilia cael

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wakati huo watu fulani walikuja, wakamweleza yesu juu ya watu wa galilaya ambao pilato alikuwa amewaua wakati walipokuwa wanachinja wanyama wao wa tambiko.

拉丁语

aderant autem quidam ipso in tempore nuntiantes illi de galilaeis quorum sanguinem pilatus miscuit cum sacrificiis eoru

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kuhani mkuu wa kiyahudi huleta damu ya wanyama katika mahali patakatifu na kuitoa dhabihu kwa ajili ya dhambi; lakini nyama za hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.

拉丁语

quorum enim animalium infertur sanguis pro peccato in sancta per pontificem horum corpora cremantur extra castr

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wanaacha kumwabudu mungu aishiye milele, na badala yake, wanaabudu sanamu zilizo mfano wa binadamu ambaye hufa, mfano wa wanyama, ndege, au wanyama watambaao.

拉丁语

et mutaverunt gloriam incorruptibilis dei in similitudinem imaginis corruptibilis hominis et volucrum et quadrupedum et serpentiu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama kusudi langu lingalikuwa la kibinadamu tu, kule kupigana kwangu na wanyama wakali hapa efeso kungalinifaa kitu gani? kama wafu hawafufuki, basi, "tule na tunywe, maana kesho tutakufa."

拉丁语

si secundum hominem ad bestias pugnavi ephesi quid mihi prodest si mortui non resurgunt manducemus et bibamus cras enim moriemu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
8,021,827,954 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認