您搜索了: watakuwa (斯瓦希里语 - 拉丁语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Latin

信息

Swahili

watakuwa

Latin

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

拉丁语

信息

斯瓦希里语

maana wafu watakapofufuliwa hawataoa wala kuolewa, watakuwa kama malaika mbinguni.

拉丁语

in resurrectione enim neque nubent neque nubentur sed sunt sicut angeli dei in cael

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.

拉丁语

duae molentes in mola una adsumetur et una relinquetu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

maana wafu watakapofufuka, hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika wa mbinguni.

拉丁语

cum enim a mortuis resurrexerint neque nubent neque nubentur sed sunt sicut angeli in caeli

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nao wawili watakuwa mwili mmoja. kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja.

拉丁语

et erunt duo in carne una itaque iam non sunt duo sed una car

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda mungu.

拉丁语

proditores protervi tumidi voluptatium amatores magis quam de

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nawaambieni, siku ile usiku watu wawili watakuwa wanalala pamoja, mmoja atachukuliwa na yule mwingine ataachwa.

拉丁语

dico vobis illa nocte erunt duo in lecto uno unus adsumetur et alter relinquetu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza."

拉丁语

multi autem erunt primi novissimi et novissimi prim

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

ama hakika, hawawezi kufa tena, kwa sababu watakuwa kama malaika, na ni watoto wa mungu kwa vile wamefufuliwa katika wafu.

拉丁语

neque enim ultra mori poterunt aequales enim angelis sunt et filii sunt dei cum sint filii resurrectioni

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

heri yao wale wanaoosha mavazi yao, kwani watakuwa na haki ya kula tunda la mti wa uzima, na haki ya kuingia mjini kwa kupitia milango yake.

拉丁语

beati qui lavant stolas suas ut sit potestas eorum in ligno vitae et portis intrent in civitate

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

yesu akamaliza kwa kusema, "hivyo, walio wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho."

拉丁语

sic erunt novissimi primi et primi novissimi multi sunt enim vocati pauci autem elect

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "nao wawili watakuwa mwili mmoja."

拉丁语

an nescitis quoniam qui adheret meretrici unum corpus efficitur erunt enim inquit duo in carne un

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

basi, atatoka nje, ataanza kuyapotosha mataifa yote yaliyotawanyika kila mahali duniani, yaani gogu na magogu. shetani atawakusanya pamoja kwa ajili ya vita; nao watakuwa wengi kama mchanga wa pwani.

拉丁语

et ascenderunt super latitudinem terrae et circumierunt castra sanctorum et civitatem dilecta

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hekalu la mungu lina uhusiano gani na sanamu za uongo? maana sisi ni hekalu la mungu aliye hai. kama mungu mwenyewe alivyosema: "nitafanya makao yangu kwao, na kuishi kati yao; nitakuwa mungu wao, nao watakuwa watu wangu."

拉丁语

qui autem consensus templo dei cum idolis vos enim estis templum dei vivi sicut dicit deus quoniam inhabitabo in illis et inambulabo et ero illorum deus et ipsi erunt mihi populu

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,788,935,163 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認