您搜索了: anamiliki faili hii katika regions_1 (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

anamiliki faili hii katika regions_1

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

sijawahi kuiona kanuni hii katika kitabu chochote.

英语

i have not seen this formula before in any book.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

asubuhi ya februari 11, mwanaharakati mmoja aliweka picha hii katika ukurasa wa twita:

英语

on the morning of february 11, the activist shared this photo:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kulikuwepo na mjadala wa aina hii katika ukurasa wa facebook wa mwanafizikia na mwanaharakati ajulikanaye kwa jin la evgeny komarovsky.

英语

in particular, such a discussion took place on the facebook page of a physician and activist evgeny komarovsky.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa maana, leo hii katika mji wa daudi, amezaliwa mwokozi kwa ajili yenu, ndiye kristo bwana.

英语

for unto you is born this day in the city of david a saviour, which is christ the lord.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alisher abdugofurov kwenye registan.net anajadili sababu ya kutokea hali hii katika jamii ambayo haina wanablogu wengi wa kuanzia zoezi hilo.

英语

alisher abdugofurov on registan.net shares his opinion about why this is happening in a society where there are not many bloggers to start with.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mitaa ya betlehemu inavyoangazwa kwa mwanga wa taa za krismasi, anatwiti @maathmusleh, ambaye aliweka picha hii katika mtandao wa twita

英语

bethlehem streets lighting up for christmas, tweets @maathmusleh, who shares this image on twitter

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ilikuwa yenye mafanikio kiasi hicho kwamba tarehe hii katika mwaka 2010 itakuwa ndiyo ya kwanza katika siku ya nelson mandela ya kimataifa kama joburg anavyoripoti:

英语

so much so that 2010 will be the first nelson mandela international day as joburg reports:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mfano nchini mali, ambapo hali ya lugha iliangaziwa kwenye blogu hii katika kutazama uzungumzaji wa lugha - kibambara kinaonekana kuwa lugha maarufu kuliko hata lugha rasmi ya kifaransa.

英语

an example is mali, whose linguistic profile was explored on this blog in discussing the long-tail of languages - bambara is certainly more used than the official french.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

punde baada ya matukio ya unyanyasaji ya hivi karibuni nchini lebanon, msemo wa “utawala wa dinosaurs” ulianza kutumika na wanaharakati wa mtandaoni kwenye kampeni dhidi ya uvamizi wa namna hii katika mitandao yao.

英语

shortly after the recent harassments incidents in lebanon, the term "the rule of dinosaurs" started to be used by cyber-activists in their campaign against this invasion of their cyberspace.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

mazungumzo ya gv juma hili yanakujia moja kwa moja kutoka são paulo, brazil mahali ambapo wawakilishi wa serikali, vyama vya kiraia na mashirika wamekusanyika kutoka duniani kote wiki hii katika kituo cha mkutano cha netmundial ili kutengeneza 'mwongozo' wa utawala wa kidunia wa mtandao wa intaneti katika kipindi hiki cha baada ya sakata la snowden.

英语

this week's gv face comes to you live from são paulo, brazil where government, civil society and corporate representatives from around the world gathered this week at netmundial to hash out a "roadmap" for global internet governance in a post-snowden world.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,794,781,484 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認