您搜索了: baraza la madiwani (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

baraza la madiwani

英语

最后更新: 2021-05-10
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baraza la kijiji

英语

the village council

最后更新: 2023-09-11
使用频率: 3
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mabadiliko yanayopendekezwa yanafanywa na baraza la seneti.

英语

the proposed revision is currently under review at the senate.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katibu mtendaji baraza la sanaa ya filamu na utamaduni

英语

culture officer

最后更新: 2022-10-09
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

picha imepigwa kwenye video iliyowekwa na baraza la seneti.

英语

screenshot from video posted by the senate.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ninamshukuru gavana na baraza la seneta kwa fursa ya kuthibitisha kujitolea kwangu.

英语

i thank the governor and the senate for the opportunity to reaffirm this commitment.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baraza la taifa la elimu ya sekondari lilitoa tamko kulaani uhamisho holela:

英语

the national syndicate for secondary education issued a statement condemning the arbitrary transfer:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baraza la seneti la urugwai lilipiga kura 16 kwa 13 kuhalalisha uzalishaji na uuzaji wa bangi..

英语

uruguay's senate voted 16 to 13 to legalize the production and sale of marijuana.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

-baraza la kijeshi limetishia kuvunja bunge kwa kukata rufaa katika mahakama kuu ya katiba.

英语

- scaf has threatened to dissolve parliament by appealing against the head of the supreme constitutional court.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baraza la usalama la umoja wa mataifa limefikia azimio 2177 la kupambana na janga hilo linalohatarisha afya ya jamii.

英语

the united nations security council has adopted resolution 2177 to deal with the public health crisis.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa vile alishughulikia suala nyeti lililogusia haki za binadamu nchini ufaransa, waziri alionywa na baraza la ulaya:

英语

on a subject that was already quite sensitive for human rights in france, the minister's statement got him a warning from the council of europe:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mitsangana madagascar anasema kwamba orodha hiyo ina wanawake 6 na kuwa mawaziri 7 walikuwa kwenye baraza la serikali iliyopita ya mpito.

英语

mitsangana madagascar notes that the list includes 6 women and that 7 ministers were already part of the previous transitional government.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

-je, baraza la kijeshi linataka kuharibu lengo la mapinduzi, kuwakatisha watu tamaa, na kuvuruga uchaguzi?

英语

- does scaf want to thwart the revolution, make the people despair, and rig the elections?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

aliporudi lusaka, ikulu ilijaribu kumwonyesha akiendelea na majukumu yake ya kazi kama kawaida na hata kuchapisha picha zake akiongoza kikao cha baraza la mawaziri.

英语

upon his return to lusaka, the president’s office tried to show him as working normally and even posted pictures of him chairing a cabinet meeting.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mnamo jumatatu, juni 23, 2014, baraza la seneti la puerto rico lilimthibitisha mwanasheria maite oronoz rodríguez kuwa jaji wa mahakama kuu nchini humo.

英语

on monday, june 23, 2014, the puerto rico senate confirmed attorney maite oronoz rodríguez as a supreme court judge.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

jawabu ni rais kiir. ndiye mwenye hamu ya kuimarisha taswira yake kama kiongozi wa sudan kusini baada ya kulipanga upya baraza la mawaziri na katika maandalizi ya uchaguzi wa 2015.

英语

the answer is, president kiir, who needs to bolster his own image as south sudan’s leader in light of the cabinet reshuffle, and in the run-up to elections in 2015.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hata kama itafikiriwa kuwa mawaziri wanaoratibu mkakati huu wa sasa wanafanya udanganyifu makini wa wazi, waangalizi wa zamani katika baraza la mawaziri bado wanaweza kupiga kura ya turufu kuhusiana na matokeo ya mpango huo.

英语

even if it is assumed that the ministers leading the current initiative are of a keenly liberal bent, the older guards in the cabinet remain likely to have a veto over the final product.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika mtandao wa nyasanet, swali la ni nani atakayechaguliwa kwenye baraza la mawaziri linajadiliwa katika msingi wa wasomi waliochaguliwa kuingia kwenye baraza la wawakilishi, ambalo linafananishwa na kongamano la wasomi.

英语

on the internet forum nyasanet, the question of who will be chosen to fill cabinet posts is being debated on the basis of the intelligentsia voted into the legislature, which is being likened to an academic symposium.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

aad inaamini kwamba kuomba radhi kwa mkuu wa mkoa wa ashanti ni dalili za ukuaji wa dhana ya kuwajibika na lazima ikubaliwe kwa imani njema lakini hata hivyo tunasisitiza kwamba matamshi yake hayo yameidhalilisha hadhi yake kama mkuu wa mkoa na mwenyekiti wa baraza la usalama la mkoa.

英语

aad believes that the apology of the ashanti regional minister is an indication of gross remorse and must be accepted in good faith but we however insist that his averments militates against his status as the regional minister and the chairman of the regional security council.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama watetezi wa uhuru wa kujieleza nchini vietnam na wahanga wa ukiukwaji wa haki za binadamu kwa sababu ya harakati zetu, sisi twaona mgombea vietnam kwa baraza la haki za binadamu kama jukwaa kwa ajili ya majadiliano ya kujenga haki za binadamu katika nchi yetu.

英语

as advocates for freedom of expression in vietnam and victims of human rights violations because of our activism, we view vietnam's candidacy for the human rights council as a platform for constructive human rights discussions in our country.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,746,379,262 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認