您搜索了: festo (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

festo

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

siku tatu baada ya kufika mkoani, festo alitoka kaisarea, akaenda yerusalemu.

英语

now when festus was come into the province, after three days he ascended from caesarea to jerusalem.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lakini festo alijibu, "paulo atabaki kizuizini kule kaisarea na mimi nitakwenda huko karibuni.

英语

but festus answered, that paul should be kept at caesarea, and that he himself would depart shortly thither.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

lakini paulo akasema, "sina wazimu mheshimiwa festo: ninachosema ni ukweli mtupu.

英语

but he said, i am not mad, most noble festus; but speak forth the words of truth and soberness.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

naye agripa akamwambia festo, "mtu huyu angeweza kufunguliwa kama asingalikuwa amekata rufani kwa kaisari."

英语

then said agrippa unto festus, this man might have been set at liberty, if he had not appealed unto caesar.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

walikuwa huko siku kadhaa naye festo akamweleza mfalme kesi ya paulo: "kuna mtu mmoja hapa ambaye felisi alimwacha kizuizini.

英语

and when they had been there many days, festus declared paul's cause unto the king, saying, there is a certain man left in bonds by felix:

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

festo alikaa nao kwa muda wa siku nane au kumi hivi, kisha akarudi kaisarea. kesho yake alikwenda barazani, akaamuru paulo aletwe ndani.

英语

and when he had tarried among them more than ten days, he went down unto caesarea; and the next day sitting on the judgment seat commanded paul to be brought.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

festo alitaka kujipendekeza kwa wayahudi na hivyo akamwuliza paulo, "je, ungependa kwenda yerusalemu na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?"

英语

but festus, willing to do the jews a pleasure, answered paul, and said, wilt thou go up to jerusalem, and there be judged of these things before me?

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

hivyo, kesho yake, agripa na bernike walifika kwa shangwe katika ukumbi wa mkutano wakiwa wameandamana na wakuu wa majeshi na viongozi wa mji. festo aliamuru paulo aletwe ndani,

英语

and on the morrow, when agrippa was come, and bernice, with great pomp, and was entered into the place of hearing, with the chief captains, and principal men of the city, at festus' commandment paul was brought forth.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, baada ya festo kuzungumza na washauri wake, akamwambia paulo, "umekata rufani kwa kaisari, basi, utakwenda kwa kaisari."

英语

then festus, when he had conferred with the council, answered, hast thou appealed unto caesar? unto caesar shalt thou go.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

paulo alipofika hapa katika kujitetea kwake, festo alisema kwa sauti kubwa, "paulo! una wazimu! kusoma kwako kwingi kunakutia wazimu!"

英语

and as he thus spake for himself, festus said with a loud voice, paul, thou art beside thyself; much learning doth make thee mad.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,779,591,723 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認