来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
megumi igarashi, kwa jina jingine rokudenaishiko, ni msanii wa tokyo anayetuhumiwa kukiuka maadili.
megumi igarashi, aka rokudenaishiko, is the tokyo artist accused of obscenity.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
igarashi alikamatwa tena mara kadhaa kwa kuonesha kazi yake ya sanaa iliyokuwa na sura ya sehemu zake za siri kwenye duka moja la ngono jijini tokyo -kitendo cha kidhalilishaji kilichofanywa na polisi, kwa mujibu wa mawanasheria wake.
igarashi was again arrested several months later for displaying another artwork based on the shape of her genitalia in a tokyo sex shop—a clear case of police harassment, according to her lawyer.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
akipatwa na hatia, igarashi anaweza kuhukumiwa mpaka miaka miwili jela na kutozwa faini inayfofikia yen 2.5 milioni (sawa na dola la marekani 20,900).
if convicted, igarashi faces up to two years in jail and fines of up to 2.5 million yen (us $20,900).
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
(megumi igarashi) alipoonekana kwa mara ya kwanza mahakamani, alikana mashitaka ya kukiuka maadili. (´-`).。oo (ninafurahi sana msanii wa mahakama aliweza kumjengea taswira nzuri. ー(^o^)
(megumi igarashi)'s first court appearance, declares herself not guilty of obscenity charges. (´-`).。oo (i'm also so glad the courtroom artist was able to portray her so well. ー(^o^)
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量: