您搜索了: ilikuwa ni juhudi nafanya (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

ilikuwa ni juhudi nafanya

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

na ilikuwa ni haki juu yetu kuwanusuru waumini.

英语

and incumbent upon us was avengement of the believers.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alama ya kampeni za rouhani ilikuwa ni ufunguo.

英语

a key was the symbol for rouhani's campaign.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

twiti yake iliyofuata ilikuwa ni wakati ametoka hospitali.

英语

her next tweet is from the hospital.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alama ya rais mteule hassan rouhani ilikuwa ni ufunguo.

英语

the campaign symbol of president-elect hassan rouhani was a key.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nilichofanya pale ilikuwa ni kuwasafirisha majeruhi kwenda hospitali ya tarchileik.

英语

what i had to do there was to send wounded people to tarchileik hospital.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ningeliweza kutumia mtandao wa intaneti, lakini ilikuwa ni vigumu mno.

英语

i could use the internet occasionally, but it was very difficult.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ijumaa hii ya tarehe 5 septemba ilikuwa ni siku maalum katika angola.

英语

this friday september 05 was a special day in angola.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hakika ilikuwa ni ishara kwenu katika yale majeshi mawili yalipo pambana.

英语

indeed, there was a sign for you in the two armies which met on the battlefield.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

familia iliyotiliwa mkazo zaidi ilikuwa ni ile ya ndugu abdullah al-ayaf.

英语

the family that got the most attention was that of abdullah al-ayaf.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa watu wengi, hii ilikuwa ni fursa yao ya kwanza kutumia haki yao ya kupiga kura.

英语

for many people, this was the first opportunity to exercise their right to vote.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya muda fulani, tuligundua kuwa, kwao, ilikuwa ni kama aina fulani hivi ya dini.

英语

after a while we discovered it’s like a religious thing for them.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

brazil ilikuwa ni moja kati ya nchi za kidemokrasia za kwanza kutumia mashine za umeme za kupigia kura.

英语

brazil was one of the first democracies of its size to use electronic voting machines.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa maofisa, dhahama hiyo iliyochukua maisha ya angalau abiria 25 ilikuwa ni shambulio la kigaidi.

英语

according to officials, the tragedy that took lives of at least 25 passengers was a terrorist attack.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hii ilikuwa ni timu ya wapasuaji 11, wanaofanya kazi za kibinadamu katika nchi mbalimbali duniani, ikiwemo madagaska.

英语

this was a team made up of 11 surgeons, doing humanitarian work across several countries in the world, including madagascar.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ghana ilikuwa ni nchi bora ya saba katika bara katika utawala bora kwa mujibu wa orodha ya ibrahim ya utawala wa afrika 2009.

英语

ghana was ranked the seventh-best country on the continent for good governance according to the 2009 ibrahim index of african governance.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hii ilikuwa ni kampeni yetu iliyokuwa na kasi kubwa kabisa kuliko nyingine yoyote ambapo, maelfu ya watu walikuwa wakijiunga kila siku.

英语

this was our fastest growing campaign, with thousands of people signing up every day.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alipata elimu yake katika miji ya caracas na maracaibo, lakini ilikuwa ni huko paris ambako kazi yake ilipata mwelekeo wenye nguvu zaidi.

英语

he received his education in the cities of caracas and maracaibo, but it was in paris where his career took a powerful turn.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"ilikuwa ni changamoto kubwa nilipoanza kuigiza onesho hili kupata ushirikiano wa jamii ya waislamu wa kimarekani," anasema.

英语

"it was a big challenge when i first started doing this play to get the muslim american community to support it," she says.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

@balrasheed: moja ya mambo ya ajabu zaidi kukutana nayo selo ilikuwa ni mfanyabiashara wa lebanon ambaye alihukumiwa kifungo cha siku tano.

英语

@balrasheed: one of the more bizarre stories we came across during our detention was of a lebanese salesman who was sentenced to five days imprisonment.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hii haikuwa ziara ya kwanza ya rais nje ya nchi kukutana na madaktari wa kigeni. lakini ilikuwa ni mara ya kwanza kwa maafisa wa serikali kukiri kwamba rais alikuwa anapata matibabu.

英语

this wasn't the president's first trip abroad to meet with foreign doctors, but it was the first time state officials admitted to sata's medical needs.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,794,845,431 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認