您搜索了: iliyojaa (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

iliyojaa

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

inaonekana kama nitavuta hewa iliyojaa moshi wa mabomu ya kutoa machozi, kwa mara nyingine.

英语

looks like i will breathe in more than enough of this gas, again.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wanafamilia walimiminika kuelekea sehemu ya mapokezi wakati ambapo madaktari na miili iliyojaa damu walikimbizwa na kutolewa katika chumba cha upasuaji.

英语

family members milled around the front reception area while doctors and bodies covered in blood were rushed in and out of surgery.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alikuwa ni daktari mwanadada mtu wa malaysia ambaye katika hotuba yake iliyojaa hamasa alinishawishi kuwa mahusiano kati ya watu wa rangi tofauti yanaweza kuleta madhara leo kama ilivyotokea katika miaka ya 1960.

英语

it was a malay lady doctor who in her impassioned speech convinced me that race relations can cause today, as much rawness as in the 1960s.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ruhusa ya kwenda hospitali, halafu kuwa na ratiba iliyojaa muda mwingi na mwanao –ni afadhali kuliko kukaa kwenye seli ya magereza, wanadai.

英语

hospital leave, then lots of scheduled time with your child – it is all better than sitting in a stone cell, they claim.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ni sehemu ya mazoea ya aina yake afrika kusini na nina hakika kama wageni wetu watahudhuria michezo hii na kushuhudia hali hii ya hewa (iliyojaa kelele ya mavuvuzela) basi watayapenda.

英语

it’s all part of the uniquely south african experience and i’m certain that if our foreign visitors attend the games and experience the electrifying atmosphere they will fall in love with the vuvuzela.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kamera yangu ilitaka kuyanasa maisha ya kila siku, kuanzia mitaa iliyojaa watu ya mji wa kikoloni wa yangon, hadi kwenye masoko yenye vumbi ya mandalay, hadi waislamu wa meikhtila, na hata maisha ya mtoni huko and pathein.

英语

my camera focused on capturing daily life, from the cramped streets of the colonial capital of yangon, to dusty markets in mandalay, to muslims in meikhtila, and river life in pathein.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@rawyarageh: 'risasi yaweza kumwua mtu, lakini kamera iliyojaa uwongo ni maafa kwa taifa' kinasema kipeperushi kimoja karibu na ofisi za al jazeera #misri

英语

@rawyarageh: 'a bullet may kill a person, a lying camera kills a nation' on flyer dropped near aljazeera's offices #egypt

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,799,516,623 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認