您搜索了: kufariki (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kufariki

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

nasikitika ajabu kwa habari ya kufariki kwa madiba.

英语

i feel strangely sad at the news of madiba's passing.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alichukua nafasi hiyo baada ya baba yake kufariki dunia.

英语

he took over the charge after his father died.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndiko kufariki;

英语

(the angels of mercy or the angels of wrath,)" then, he will realize that it is time to leave this world.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

@cynicalvs: watoto wanawezaje kufariki baada ya kula chakula cha mchana?

英语

@cynicalvs: how can kids die of eating a midday meal?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, nitajitahidi kuwapatieni njia ya kuyakumbuka mambo haya kila wakati, baada ya kufariki kwangu.

英语

moreover i will endeavour that ye may be able after my decease to have these things always in remembrance.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa dhabihu na wakati wa kufariki kwangu umefika.

英语

for i am now ready to be offered, and the time of my departure is at hand.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

lebanoni: watu 90 wanahofiwa kufariki baada ya ndege ya shirika la ndege la ethiopia kuanguka baharini

英语

lebanon: 90 presumed dead after ethiopian airlines jet plunges into sea · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ushahidi wa umuhimu wake ni kwamba hata vyombo vya habari marekani vilikatiza programu na kutangaza kufariki kwa nelson mandela.

英语

a testament to his importance that even the us media break into programming to announce the passing of nelson mandela.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

sawa, kama inaonekana mimi nafikiri sana juu ya kufariki kwa mandela, ni kwa sababu tukio hili lina maana kubwa kwangu.

英语

ok, if it seems i am dwelling on mandela's passing, it is because it means a whole lot to me.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

wanablogu wa sehemu mbalimbali na watumiaji wa vyombo vya habari vya kijamii walitoa mawazo yao kuhusu kufariki kwa moja wa magwiji wa amani duniani aliyedumu zaidi duniani.

英语

regional bloggers and social media users shared their thoughts about the passing of one of the world's most enduring icons of peaceful resistance.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kufariki kwake ni ukumbusho wa kujitolea kwa wafungwa wa kihistoria wa kisiasa duniani, kama vile cuba eusebio penalver mazorra, mfungwa wa kisiasa aliyefungwa kwa muda mrefu mwenye asili ya afrika katika historia ya kisiasa, baada ya kutumikia kifungo chake kwa miaka 28.

英语

his passing is also a reminder of the sacrifice of the world's historic political prisoners, such as cuba's eusebio penalver mazorra, the longest serving political prisoner of african descent in modern history, having served 28-years.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

dada mkubwa wa mama yangu alihamia venezuela miaka ya 1950. aliolewa huko caracas na aliishi huko na mumewe pamoja na watot wao wawili wa kiume. mara baada ya binamu wangu mdogo kufariki katika ajali ya gari, mama yangu na dada yake waliimarisha ukaribu wao, na kamwe hawakuruhusu umbali uwatenganishe.

英语

my mother's elder sister moved to venezuela in the late 1950s. she got married in caracas and settled there with her husband and two sons. after my younger cousin died in a car accident, my mother and her sister strengthened their bond and never let distance deter them from staying in touch.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,792,486,407 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認