您搜索了: kukemea ndoa za totoni (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kukemea ndoa za totoni

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

ndoa za kulazimishwa - 1700

英语

forced marriage - 1700

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

indonesia: talaka na ndoa za mitala

英语

indonesia: divorce and polygamy · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hazungumzii ndoa za mashoga au kitu kama hicho.

英语

he is not talking about gay marrriage or that kind of thing.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tokomeza mimba na ndoa za utotoni in english

英语

abortion and child marriage in english

最后更新: 2021-10-21
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kuchapisha bloguni kuhusu utamaduni na ndoa za watu wa asili tofauti

英语

blogging about culture and interracial marriages · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wanawake zaidi walio katika ndoa za mitala wanaanza kusisitizia haki zao.

英语

more women in polygamous marriages are becoming more assertive about their rights.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

najihisi nina hatia ninapoandika kuhusu talaka na ndoa za mitala wakati wa siku ya wapendanao ya valentino.

英语

i feel guilty writing about divorce and polygamy on valentine’s day.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sheikh fazil pia anafanya kampeni ya kutambuliwa kisheria kwa ndoa za mitala, ambazo kwa sasa haziruhusiwi.

英语

sheikh fazil is also campaigning for the legal recognition of polygamous marriages, which are currently outlawed.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

harusi za pamoja zilizoandaliwa kwa ajili ya kufungisha ndoa za makumi ya maarusi huko daikundi, katikati ya afghanistan.

英语

collective wedding organized for tens of couples in daikundi, central afghanistan.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

ujinga, ndoa za umri mdogo, mimba za utotoni ni sehemu ya mduara usiokwisha unaoathiri maisha ya wasichana.

英语

illiteracy, child marriage, teen pregnancy are part of a vicious cycle that especially affects our girls.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama hakubaliani na ndoa za rangi tofauti, basi anahitaji kutafuta kazi nyingine –labda mkuu wa ku klux klan?

英语

if he doesn’t agree with interracial marriage, he needs to find a new job – perhaps grand master of the ku klux klan?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

glenda larke anaamini kwamba ndoa za watoto hazina tofauti na ngono batili kati ya watu wazima na watoto, hata kama ni kwa mujibu wa sheria.

英语

glenda larke believes that a child marriage is no different to paedophilia, even if it is legal.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

bunge liliupitia muswada huo baada ya kuusoma kwa mara ya kwanza oktoba 23, 2013, lakini mchakato wa kisheria ulisimamishwa baada ya wapinzani wa sheria hiyo kupinga vikali ndoa za jinsia moja.

英语

the legislature passed the first reading on october 25, 2013, but the legislative process was suspended in reaction to a massive mobilization of opponents of same-sex marriage.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

na, ili kuutazama zaidi ushahidi, watoto wa ndoa za wenzi wenye tofauti ya rangi huwa hawateseki ukilinganisha na watoto wengine kwa kigezo kwamba wanakulia katika mazingira yanayokubali tofauti za watu na watoto wa ndoa za rangi tofauti.

英语

and, to further review the evidence, children of interracial marriages do not suffer in when compared to other children provided that they grow up in an environment that’s accepting of diversity and children of interracial marriages.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hivi karibuni ilitolewa taarifa kwamba ndoa ya kupangwa kati ya msichana mwenye umri wa miaka 14 na mwalimu mwenye umri wa miaka 23 ‘ilianzisha wito wa mjadala mpya juu ya ndoa za watoto wadogo’.

英语

recently, it has been reported that an arranged marriage between a 14-year-old girl and a 23-year-old teacher ‘has triggered a call for a fresh debate on child marriage’.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kadiri watu katika sehemu mbalimbali za dunia wanavyozidi kuwa karibu kwa sababu ya teknolojia ya kisasa, na njinsi vikwazo vya kiutamaduni na tofauti ya asili vinavyozidi kuondolewa na kuacha nafasi kwa kuelewana na kuheshimiana; basi ndoa za watu wenye asili tofauti nazo zinazidi kuwa jambo la kawaida.

英语

as people around the world get closer through modern technology, and cultural and racial barriers give way to mutual understanding and respect; and interracial marriages are becoming more common.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

(e) kujitoa kwenye makubaliano yoyote ya kimataifa ambayo uganda tayari ni mwanachama, au kuweka masharti ya kujihadhari, ambayo yanatafsiriwa upya ili kujumuisha kulindwa kwa tabia za kishoga, au kutetea ndoa za jinsia moja, au kutoa wito wa kutangaza au kufundisha kuhusu ushoga kama tabia yenye afya, ya kawaida au uchaguzi unaokubalika wa utaratibu wa maisha, au kutafuta kuanzishwa kwa tabia za kingono, mtazamo wa kingono, au utambilsho wa kijinsia au makundi madogo ya kijinsia kama makundi ya watu yanayolindwa kisheria; na (f) kuizuia uganda kuwa mwanachama wa chombo chochote cha kimataifa ambacho kinatamka wazi ujumuishaji na kulindwa kwa tabia za kishoga; kushabikia ndoa za jinsia moja; kutoa wito wa kushabikia na kufundisha kuhusu ushoga na mahusiano ya jinsia moja kama yenye kumaanisha afya njema, kawaida, ama uchaguzi wa namna ya maisha unaokubalika; na/au kutafuata kuanzisha tabia za kingono, mtazamo wa kingono, utambulisho wa kijinsia au makundi madogo ya kijinsia kama makundi ya watu yanayolindwa kwa nguvu ya sheria.

英语

(e) to withdraw from any international agreements to which uganda already is a party, or file reservations to them, which are re-interpreted to include protection for homosexual behavior, or that promote same-sex marriage, or that call for the promotion or teaching about homosexuality as being healthy, normal, or an acceptable lifestyle choice, or that seek to establish sexual behavior, sexual orientation, or gender identity, or sexual minorities as legally protected categories of people; and (f) to prohibit uganda from becoming a party to any new international instruments that expressly include protection for homosexual behavior; promote same-sex marriage; call for the promotion or teaching about homosexuality or homosexual relations as being healthy, normal, or an acceptable lifestyle choice; and/or seek to establish sexual behavior, sexual orientation, gender identity or sexual minorities as legally protected categories of people

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,779,237,781 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認