您搜索了: kumwua (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

kumwua

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

makuhani wakuu waliamua pia kumwua lazaro,

英语

but the chief priests consulted that they might put lazarus also to death;

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mmemhukumu na kumwua mtu asiye na hatia, naye hakuwapigeni.

英语

ye have condemned and killed the just; and he doth not resist you.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, tangu siku hiyo viongozi wa wayahudi walifanya mipango ya kumwua yesu.

英语

then from that day forth they took counsel together for to put him to death.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mungu wa babu zetu alimfufua yesu baada ya ninyi kumwua kwa kumtundika msalabani.

英语

the god of our fathers raised up jesus, whom ye slew and hanged on a tree.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pia aliongea na kubishana na wayahudi wasemao kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua.

英语

and he spake boldly in the name of the lord jesus, and disputed against the grecians: but they went about to slay him.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya siku nyingi kupita, wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumwua saulo.

英语

and after that many days were fulfilled, the jews took counsel to kill him:

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, msichana huyo anapambana, na kwa bahati mbaya anafanikiwa kumwua mwanaume huyo.

英语

but she fights back, accidentally killing him.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

basi, makuhani wakuu na baraza lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya yesu wapate kumwua,

英语

now the chief priests, and elders, and all the council, sought false witness against jesus, to put him to death;

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

serikali, kwa mujibu wa jaji thokozile masipa, ilishindwa kuthibitisha pasipo mashaka yoyote kwamba pistorius alikusudia kumwua.

英语

the state, according to judge thokozile masipa, failed to prove beyond a reasonable doubt that pistorius intended to kill her.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya hayo, yesu alikuwa akitembea katika galilaya. hakutaka kutembea mkoani yudea kwa sababu viongozi wa wayahudi walikuwa wanataka kumwua.

英语

after these things jesus walked in galilee: for he would not walk in jewry, because the jews sought to kill him.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

saulo naye alikiona kitendo hicho cha kumwua stefano kuwa sawa. siku hiyo kanisa la yerusalemu lilianza kuteswa vibaya. waumini wote, isipokuwa tu wale mitume, walilazimika kutawanyika katika sehemu za mashambani za yudea na samaria.

英语

and saul was consenting unto his death. and at that time there was a great persecution against the church which was at jerusalem; and they were all scattered abroad throughout the regions of judaea and samaria, except the apostles.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

akamwambia, "amka! mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika nchi ya israeli, maana wale waliotaka kumwua mtoto huyo wamekwisha kufa."

英语

saying, arise, and take the young child and his mother, and go into the land of israel: for they are dead which sought the young child's life.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

@rawyarageh: 'risasi yaweza kumwua mtu, lakini kamera iliyojaa uwongo ni maafa kwa taifa' kinasema kipeperushi kimoja karibu na ofisi za al jazeera #misri

英语

@rawyarageh: 'a bullet may kill a person, a lying camera kills a nation' on flyer dropped near aljazeera's offices #egypt

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,788,861,962 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認