您搜索了: kuthibitishwa (斯瓦希里语 - 英语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

kuthibitishwa

英语

preventive maintenance

最后更新: 2019-03-01
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mchakato wa kuthibitishwa haukupia hivi hivi.

英语

the confirmation process was not without hitches.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mwandishi huyo aliachiwa baada ya kitambulisho chake kuthibitishwa.

英语

he was released after his identity was clarified.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

maite oronoz wakati wa zoezi la kuthibitishwa kwenye baraza la seneti la puerto rico.

英语

maite oronoz during the confirmation process in the puerto rico senate.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kama pasingekuwa na hofu na chuki dhidi ya mashoga mjini humu, tusingekuwa na zengwe hili la kuthibitishwa kwa oronoz.

英语

if it weren't for the rampant lesbophobia in the capital, we wouldn't be in this mess over oronoz' confirmation.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

habari kuhusu maisha au kifo cha rais huyo wa zamani wa misri si habari pekee ambayo haiwezi kuthibitishwa nchini misri siku hizi.

英语

news about the life or death of the former president is not the only information that cannot be confirmed in egypt nowadays.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

visa inamaanisha idadi ya watu waliopimwa kwa covid-19, na kipimo chao kuthibitishwa kuwa chanya kulingana na itifaki rasmi.

英语

cases refers to the number of people who have been tested for covid-19, and whose test has been confirmed positive according to official protocols.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kuthibitishwa kwa mlipuko wa maradhi hayo kulisababisha kuenea kwa hofu miongoni mwa raia wa gambia kwa sababu ya ukaribu uliopo kati ya nchi hiyo na gambia ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa njia za panya katika mpaka wa nchi hizo.

英语

the confirmation created widespread fear among the gambians because of the closeness of senegal to gambia and porous borders between the two countries.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mgusano na mtu aliyetajwa kuthibitishwa kuwa na covid-19 (y/n) kwa maoni ya matini huru kuhusu kiwango cha uhakika

英语

contact with a named person with confirmed covid-19 (y/n) with a free text comment about the level of certainty

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika toleo la tarehe 5 machi la eurosurveillance 2020, spiteri et al. waliripoti kuhusu visa vya kwanza kuthibitishwa vya covid-19 kulingana na ufafanuzi wa kisa kwa mujibu wa who.

英语

in the 5 march issue of eurosurveillance 2020, spiteri et al. reported on the first european confirmed covid-19 cases according to the who case definition.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kufuatia kuthibitishwa kwa mgonjwa wa kwanza wa ebola nchini senegali , nchi jirani ya gambia, ilikumbwa na tahayaruki kufuatia wasiwasi wa namna nchi hiyo ilivyojiandaa kukabiliana na maradhi hayo kadhalika kuhusu uelewa wa jamii kuhusiana na ugonjwa huo.

英语

following the confirmation of the first ebola case in senegal, the gambia's immediate neighbour, concerns soared over the country's preparedness and public awareness about the disease.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa upande mwingine, itasalia kuthibitishwa iwapo uwezo wa kusambazwa kwa ugonjwa wa sars-cov-2 hupungua baada ya kupitishwa kwa binadamu kama ilivyo katika visa vya sars-cov na mers-cov.

英语

on the other hand, it remains to be verified whether the transmissibility of sars-cov-2 decreases after passages in humans as in the cases of sars-cov and mers-cov.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,748,042,790 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認