您搜索了: lazima uwe makini kwa unalotenda (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

lazima uwe makini kwa unalotenda

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

lazima uwe na mwimbaji maarufu!

英语

you have to have a famous singer!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hakuna anayesema lazima uwe shoga!

英语

no one said you must be gay! — i am an african! (@clint_za) february 24, 2014

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mheshimiwa anahitaji mwongozo makini kwa chochote.

英语

he needs serious guidance in everything.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ingawa ulaji wa nyama si lazima uwe ni chanzo cha ebola, uandaaji wa nyama mbichi ambazo zinaongeza uwezekano wa maambukizi.

英语

although consumption of meat may not necessarily cause ebola, preparation of raw infected meat increases the risk of infection.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya wnaachama wa sadc wamethibitisha kuyaunga mkono matokeo hayo kwa kudai kuwa uchaguzi ulikuwa huru "lakini si lazima uwe wa haki."

英语

some sadcc members have qualified their endorsements by arguing that the election was free "but not necessarily fair."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

ndio, unaweza kudhani sikuwa makini kwa kuacha mkoba wangu pale, kwa taarifa yako, ulikuwa umefichwa chini ya kiti kile kile mpaka nilipofikiri kuwa nimemaliza manunuzi!’

英语

yes, you might be thinking i was careless leaving the bag there, fyi, it was hidden beneath that same seat until when i thought i had finished shopping!"

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

ili kufaulu mtihani, sio lazima uwe mahiri zaidi - hata mtu wa wastani anaweza kufanya vizuri kama unaufahamu "mfumo" na akifanya yale ambayo yanatarajiwa.

英语

in order to ace an exam, you do not necessarily have to be the best —even an average person can excel if he/she can understand the “system” and do exactly what is expected.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

na kama huipendi (vuvuzela), ni lazima uwe mbaguzi au mbaya zaidi kati ya wale jamaa ambao wakisikia neno “utamaduni” tayari huanza kuzifikia bunduki.

英语

and if you don’t like it, you must be at best a racist or at worst one of those guys who when he hears the word “culture” reaches for his gun.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alejandro tarre anahoji kwamba upinzani lazima uwe tayari na ukubali kuendelea kuonyesha mbadala kwa wa-venezuela, wakizingatia kwamba "siasa, kama yalivyo maisha, inabadilika " na kwamba mwezi desemba wananchi watapiga kura kuwachagua mameya na magavana:

英语

alejandro tarre argues that the opposition must be ready and willing to continue offering an alternative for venezuelans, considering that "politics, like life, is not stagnant but fluid" and that in december venezuelans will vote for mayors and governors:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

-kuna mtandao ulijpanga wa ujambazi (uchwara) kwenye soko la mokolo, uwe makini na chochote unachofanya kila mara unapojikuta pale, (mtandao) uliojipanga kwa sababu wanachohitaji zaidi ni fedha zako, na kila mmoja aliye kwenye maeneo hayo anajua wapi unaweza kuupata mkoba wako baada ya tukio, nani ajuye kama kuna zaidi kwenye mpango mzima kuliko kinachoonekana?

英语

- there exist organised (petty) crime in the mokolo market, beware in all you do whenever you find yourself there, organised because all they want is your money, and everyone around knows where you can find your bag after the incident, who knows if there is more to the whole setup than meets the eyes?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,794,771,457 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認