您搜索了: makambi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

makambi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

aliandikwa sana kwenye magazeti kwa kuongoza kampeni dhidi ya makambi ya kufanyishwa kazi.

英语

he was featured in magazines for leading campaign against labour camps.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kukaa kwangu kurefu zaidi ni pale nilipokwenda tindouf eneo la makambi ya wakimbizi katika sahara ya magharibi nilikokwenda kuchora wanawake na wakazi katika makambi.

英语

my last long stay was in tindouf in the western sahara refugee camps where i went to sketch the women and their work in the camps.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mafunzo ya kijeshi yanayofanyika katika makambi ya wakimbizi wa kisomali huko dadaab, kaskazini mashariki ya kenya yamechochea kelele zinazochanganya wengi ndani na nje ya eneo.

英语

the recruitment taking place in the somali refugee camps in dadaab, northeastern kenya has stirred some controversial outbursts by many in and outside the region.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

haishangazi kwamba taasisi za kisiasa kama frelimo ya msumbiji, anc na pac za afrika kusini, zanu na zapu za zimbabwe, mpla ya angola na swapo ya namibia zote zilikuwa na ofisi na makambi ya mafunzo nchini tanzania.

英语

it is no wonder that political organisations such as frelimo of mozambique, the anc and pac of south africa, zanu and zapu of zimbabwe, the mpla of angola and swapo of namibia all had offices and training camps in tanzania.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mtetezi wa haki za wanawake nchini misri dalia aziada aliposti twiti hii baada ya makanisa kadhaa ya wakristo kuteketezwa katika maeneo mbalimbali nchini misri kufuatia operesheni ya kikatili iliyofanywa na jeshi agosti 14 2013, iliyokusudia kuwatoa wafuasi wa chama cha udugu wa ki-islamu kutoka makao ya makambi katika mji mkuu wa cairo, ambapo wamekuwa wakidai kurejeshwa madarakani kwa rais morsi kwa wiki kadhaa.

英语

egyptian women rights advocate dalia aziada posted this tweet after several coptic churches were burnt across egypt following a brutal military operation on august 14 2013, to clear muslim brotherhood supporters from sit-in camps in the capital cairo, where they have been demanding ousted president morsi's reinstatement for weeks.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,782,359,815 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認