您搜索了: mapuche (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

mapuche

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

chile: mahabusu wa mapuche wamaliza mgomo wa kutokula uliodumu kwa siku 60

英语

chile: mapuche prisoners end hunger strike after 60 days · global voices

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@franmen: rais piñera angeweza kuwasaidia wanafunzi walioshutumiwa pamoja na mapuche kama anavyowasaidia polisi

英语

@franmen: president piñera could give stigmatized students and mapuche the same support he offers the police

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hatimaye wanaonesha hali ya woga iliyopandikizwa upande wa kusini na mapuche, bila ya kujali haki za binadamu kabisa. #informeespecial

英语

they are finally showing the terror that the mapuche sow in the south, with no respect to human rights #informeespecial

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pia, katika lindi kuu la hisia kinzani blogu ya tumblr, unaweza kupata hifadhi ya picha za historia ya harakati za mapuche.

英语

also, on the ambivalent abyss tumblr blog you can find a photo gallery of the mapuche movement throughout history.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jana, oktoba 25, wafungwa wanne wa gereza la mapuche waliamua kusitisha kususia kula mara baada ya mahakama kuu ya chile kukubaliana na baadhi ya matakwa yao.

英语

yesterday, october 25, the four mapuche prisoners decided to abandon their protest after the chilean supreme court decided to comply with some of their demands.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

@pcayuqueo: n ni vigumu kuongelea chimbuko la jambo hili la mapuche wakati kinachochochea mijadala ni matukio ya muda mrefu ya polisi.

英语

@pcayuqueo: it's hard to talk about the background of the mapuche issue when what triggers debates is police chronicles.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

zaidi, pedro cayuqueo ambaye ni mwanahabari wa mapuche, mwandishi na mwanablogu pedro cayuqueo (@pcayuqueo) alifafanua kwa kujiamini:

英语

furthermore, mapuche journalist, writer and blogger pedro cayuqueo (@pcayuqueo) asserted:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kinakilishi (stencil) cha mapuche, picha na mtumiaji wa flickr aitwaye paul lowry (cc by-nc-nd 2.0)

英语

mapuche stencil, photo by flickr user paul lowry (cc by-nc-nd 2.0)

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

leo, siku 60 za kufunga... hesabu imefikia tamati, siku sitini za kutjitoa sadaka ili kuujua ukweli, mapigano ya siku 60 yaliyo ya hamasa, ya kujivunia, pongezi zinazomhusu kila mmoja wetu aliye mtu wa mapuche, pamoja na kuwa wapo wanaosema sisi hatupo tena.

英语

today, 60 days of fasting...the counting has ended, 60 days of sacrifice to bring out the truth, a 60-day battle of courage, pride, that pride that accompanies each one of us who are mapuche, although some say that we don't exist anymore.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,781,860,544 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認