您搜索了: mchambuzi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

mchambuzi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

mchambuzi wa programuc

英语

program cordinator

最后更新: 2023-06-15
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mchambuzi liu xuesong aliandika :

英语

commentator liu xuesong wrote :

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mchambuzi ben taylor hakuwa na imani na maelezo hayo.

英语

analyst ben taylor is less optimistic.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwanasheria wa marekani na mchambuzi wa mambo ya kisiasa alan dershowitz.

英语

american lawyer and political commentator alan dershowitz.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

"mchambuzi wa siasa," anayeonekana kukaa zambia, alishauri:

英语

"political analyser," apparently based in zambia, simply advised:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

lesley anne warner, mchambuzi mwafrika wa masuala ya usalama, hutueleza:

英语

lesley anne warner, an african security analyst, explains:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwenye tovuti hiyo hiyo, mchambuzi jomo alijiuliza kama washiriki wa utafiti huo walikuwa na taarifa za kutosha:

英语

on the same site, commenter jomo wondered if the respondents were informed enough:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mmoja wao ni mchambuzi maarufu wa filamu pablo villaça, mwanzilishi wa cinema em cena, tovuti ya filamu ya muda mrefu nchini brazil.

英语

among them is famous film critic pablo villaça, founder of cinema em cena, the oldest movie website in brazil.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mimi si mwanaharakati wa kisiasa, mimi si mwandishi na wala si mchambuzi kitaaluma, lakini ni mmoja wa mamilioni ya wamisri walimtaka mosri afungashe virago kutoka ikulu.

英语

i am not a political activist, i am not a reporter and i am not an expert analyst, but i am one of the millions of egyptians who wanted morsi out of their presidential palace.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ryan cummings, mchambuzi wa afrika ya kusini wa masuala ya usalama anasema kuwa, kuahirishwa kwa uchaguzi kwa sababu ya boko haram ni jambo lisilokuwa na maana kabisa:

英语

ryan cummings, a south african security analyst, says postponing election because of boko haram is nonsensical:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

akiandika kuhusiana na masuala ya africa, mchambuzi na mwanablogu, ben taylor alitanabaisha kuwa, mapato sahihi yatokanayo na gesi asilia yanaweza kuifanya tanzania kuacha kutegemea misaada ya kimaendeleo kwa kiasi kikubwa.

英语

writing on africa arguments, the analyst and blogger ben taylor claimed that the potential revenue from natural gas is on a scale that could release tanzania from its heavy dependence on development aid.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika uchambuzi uliofanywa na cipesa, kikundi cha sera za teknolojia ya habari na mawasiliano, mwandishi na mchambuzi wa uganda juliet nanfuka anaandika kwamba lengo kuu la muswada huo wa makosa ya jinai linapaswa kuwa kulinda haki za raia wawapo mtandaoni.

英语

in an analysis for cipesa, a regional ict policy group, ugandan journalist and analyst juliet nanfuka writes that the primary aim of cyber crime bill should be to safeguard citizens' rights on the internet.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ikiandikwa na mwanazuoni na mchambuzi michael cucek, mkazi wa wilaya ya mjini tokyo tangu mwaka 1994, blogu ya shisaku inajaribu kuwatambua watu maarufu na makundi yanayoongoza mwelekeo wa siasa za japani, na wakati mwingine hutoa mtazamo wa kiweledi kuhusu matukio yanayotokea.

英语

written by scholar and commentator michael cucek, a resident of the tokyo metropolitan district since 1994, the shisaku blog tries to identify the personalities and factions that power japanese politics, and often provides an informed, sardonic take on current events.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

emile hokayem, mchambuzi wa masuala ya mashariki ya kati katika taasisi ya kimataifa ya mafunzo mkakati, alitoa ufafanuzi katika ukurasa wake wa twita ulio na wafuatiliaji 15k akisema kuwa kuzagaa kwa video za kutisha za namna hii zikionesha madhambi yafanywayo na isis inazifanya jamii za mashariki ya kati kuchukulia matukio haya kuwa ni kawaida.mideast analyst at the international institute for strategic studies, explains to his 15k followers on twitter saying the widespread of such horrific videos showcasing isis' crimes desensitize middle eastern societies:

英语

emile hokayem, mideast analyst at the international institute for strategic studies, explains to his 15k followers on twitter saying the widespread of such horrific videos showcasing isis' crimes desensitize middle eastern societies:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
8,025,504,921 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認