您搜索了: mishahara (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

mishahara

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

malimbikizo ya mishahara

英语

最后更新: 2024-04-27
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ikumbukwe kuwa wizara imewasimamishia mishahara ya mamia ya walimu baada ya wao kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na baraza hilo.

英语

it is worth mentioning that the ministry had suspended the salaries of hundreds of teachers after their participation in the strikes organized by the syndicate.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hiyo, ongezeko hili lilisababisha kuongezeka kwa bei za bidhaa, bila ya kuongezeka kwa mishahara wala ujira katika nchi ya palestina.

英语

there was therefore a rapid rise in prices, without any significant increase in salaries or wages in the palestinian territories.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nimekuandikia waraka huu kukuomba kwamba uwe unatutmia nyaraka za malipo mapema ili tuwe tunapitia malalamiko ya mishahara kwa wakati na kuyawasilisha sehemu husika kwa ajiri ya utekelezeji

英语

i have written this letter to you asking you to send us payment documents in advance so that we can review the salary complaints on time and submit them to the relevant section for implementation.

最后更新: 2021-10-04
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

aquino ameyakataa madai ya wafanyakazi ya kupandisha mishahara yao, kuachana na mfumo wa ajira za mkataba na kusimamishwa kwa ukandamizaji unaofanywa na vyama vya wafanyakazi.

英语

aquino has again rejected workers’ calls for a significant wage hike, the junking of contractual employment and a stop to trade-union repression.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

tofauti kubwa ni kuwa mishahara nchini angola inachekesha ikilinganishwa nay a wenzao wa ulaya, jambo ambalo linapelekea mapambnano ya kila siku ili kupata mahitaji ya msingi.

英语

the main difference is that the salaries in angola are simply laughable when compared to their european counterparts, which leads to daily battles to secure basic needs.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

vile vile muswada huo utahakikisha kuwa mkuu wa serikali anayeondoka madarakani, sambamba na maafisa wakuu walio chini yake, wataendelea kupata mishahara yao ya kila mwezi yanayofikia asilimia 70 ya mishahara yao ya sasa.

英语

it also ensures that the outgoing chief executive, as well as his principal officials-designate, will continue receiving a monthly payment equivalent to 70 percent of his or her monthly salary.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

baadhi ya watu wanasema kuwa nyumbani ni pale palipo na kitanda chake, wengine wanadai kuwa nyumbani ni pale unapoweza kupata mtandao huru wa intaneti. naweza kusema kuwa nyumbani ni pale ambapo mishahara yako imehamishiwa.

英语

some people say home is where your bed is, others argue that home is where your wifi connects automatically. i can say that home is where your salaries have been transferred to

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mapema, waziri wa fedha alisema kuwa, matakwa ya wafanyakazi, ambayo yanakaribia mara tatu ya malipo ya mishahara inayotolewa na serikali kwa sasa kutoka kwacha bilioni 97 hadi kwacha milioni 276 , hayawezekani.

英语

the country's finance minister had said earlier that the striking workers' demand, which would nearly triple the government's wage bill from 97 billion kwacha to 276 billion kwacha , was impossible.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

koaci.com aliye na maskani yake huko ivory coast aligundua kuwa msichana wa ivory coast alikutwa na mauti kwa kile kinachosadikiwa kuwa alitupwa kutoka ghorofa ya 6 kutokana na ugomvi kati yake na mwajiri wake, ugomvi unaosadikiwa kusababishwa na mwajiri wa msichana huyo kutokumpa mishahara yake.

英语

ivory coast-based koaci.com has learned that a young ivorian woman was found dead after having been reportedly pushed off the 6th floor of an apartment following a suspected feud with her sponsor concerning her salary payment.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

mwanablogu watipaso mkandawire, anaandika kuwa, kila tabaka katika jamii ya watu wa malawi, kuanzia wa ngazi ya juu hadi ya chini kabisa linashindwa kutimiza kabisa wajibu wake, akitoa wito kwa wafanyakazi wa umma kuongeza ufanisi katika kazi zao kwa kuwa tayari mishahara imeongezwa.

英语

blogger watipaso mkandawire, writing that every class in malawian society from top to bottom fails to do what is expected of them, called on civil servants to increase their productivity now that they have won a wage increase.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

hwa ndio polisi wanaolipwa mishahara kwa lengo la kuwalinda raia. #protestorj #ogiganteacordou #revoltadovinagre #thegiantwokeup #vemprarua #changebrazil #rio #brasil#brazil

英语

the police, that is paid to protect the people. #protestorj #ogiganteacordou #revoltadovinagre #thegiantwokeup #vemprarua #changebrazil #rio #brasil#brazil

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,781,188,501 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認