您搜索了: nitakuwa nje ya ofisi ndani ya siku tatu (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

nitakuwa nje ya ofisi ndani ya siku tatu

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

namna ya kupoteza marafiki ndani ya siku 10

英语

@fingerray @sirnige @263chat @deltandou @cynicharare @rangamberi @conormwalsh #titleformorgansbook how to lose friends in 10 days — john-paul matenga (@jpmatenga) april 30, 2014

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kipeperushi cha vitisho kilichotupwa nje ya ofisi ya al jazeera, cairo.

英语

@rawyarageh: threatening leaflets dropped near aljazeera's offices in cairo - bloodied hand & line 'lies & other lies' #egypt a lying camera kills a nation reads a flyer thrown outside al jazeera office in cairo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

watu ambao wamekuwa nje ya uchina ndani ya siku 14 hawaruhisi katika maeneo ya umma kama vile duka kuu

英语

people who have been outside of china within 14 days not allowed into public places like malls

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alipelekwa hospitali kwa ajili ya kupata matibabu na kuruhusiwa baada ya siku tatu .

英语

she was sent to the hospital for treatment and was released after three days.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

chanjo iliyoteuliwa iliandaliwa ndani ya siku 14 za kupokea utaratibu kutoka nchi ya uchina.

英语

the vaccine candidate was developed within 14 days of receiving the sequence from china.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tulimaliza ufisadi uliodumu kwa miongo minne katika sekta ya mbolea ndani ya siku 90 baada ya kuingia ofisini kama waziri.

英语

we ended four decades of corruption in the fertilizer sector within 90 days of my assumption of office as minister.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baada ya siku tatu za upigaji kura, matokeo ya awali yametangazwa.

英语

after three days of voting, the preliminary results are out.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ushirikiano kati ya jeshi la somalia na kenya ulisaidia katika kuwanusuru baada ya siku tatu tangu watekwe nyara.

英语

combined actions by somali national army and kenyan military them rescued after 3 days of captivity.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

takriban baada ya siku tatu, video hiyo imetazamwa na watu zaidi ya laki sita.

英语

in less than three days, more than 600,000 people have watched it.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

malkia rania wa jordan kaketi ndani ya ofisi yake kubwa huko amman, jordan, na kamera tatu kubwa zikimuelekea.

英语

queen rania al abdullah sits inside large office in amman, jordon, with three cameras focused on her.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

asilimia 97.5 ya watu ambao wanaonyesha dalili wataonyesha ndani ya siku 11.5 baada ya kuambukizwa. ripiti zinaonyesha kuwa sio wote walioambukizwa wataonyesha dalili.

英语

97.5% of people who develop symptoms will do so within 11.5 days of infection.reports indicate that not all who are infected develop symptoms.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ahsante sana ndg kwa ujumbe wako, sasaivi nipo nje ya ofisi kidogo nitakujibu haraka iwezekanavyo nitakapokuwa ofisini. ahsante karibu tena

英语

thank you very much and welcome back

最后更新: 2021-04-13
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kukosa kufanya hivyo, kuna uwezekano wa mifumo ya tiba ya afya ya nchini nyingine za eu/eea kukabiliwa na ongezeko la wagonjwa wanaohitaji tiba ya kina ndani ya siku au wiki zijazo.

英语

failing this, it is likely that the healthcare systems of other eu/eea countries will face a surge of patients that require intensive care within the coming days or weeks.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

wakati huo wa siku tatu baadhi ya walinzi walikuwa ndani ya chumba, lakini muda mwingi, wakati wauguzi walipowaomba kukaa nje ya mlango, walitii.

英语

during the three days some of the guards stayed in the room, but most of the time, when the nurses asked them to sit outside the door, they complied.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

sisi, baada ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, tulipanda meli kutoka filipi na baada ya siku tatu tukawafikia kule troa. huko tulikaa kwa muda wa juma moja.

英语

and we sailed away from philippi after the days of unleavened bread, and came unto them to troas in five days; where we abode seven days.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa sababu yoyote iliyosababisha kuanguka kwa ndege ya shirika la ndege la malaysia boeing 777 kwa mara ya pili ndani ya siku, na kupoteza watu 537 katika majanga mawili ya anga, haisaidii kuinua imani ya wasafiri kwa shirika hilo la ndege.

英语

whatever the causes for another mas boeing 777 for going down a second time in 133 days, losing 537 people in two air disasters does not help lift passengers' confidence in the national airline.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa mujibu wa sheria ya macedonia ya uhuru wa kupata taarifa ya kanuni ya umma, mamlaka za serikali zinalazimika kutolea majibu ya maombi ya uhuru wa kupata taarifa (foi) ndani ya siku 30.

英语

according to macedonia's law on freedom of access to information of public character, state bodies are under obligation to respond to written foi requests within 30 days.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

katika hali isiyoeleweka sawia, rawya rageh, mwandishi wa al jazeera jijini cairo, anatwiti picha za vipeperushi vya kutishia vilivyotupwa nje ya ofisi za al jazeera jijini cairo leo:

英语

in another development, rawya rageh, al jazeera's reporter in cairo, tweets photographs of threatening flyers dropped outside al jazeera's cairo offices today: a threatening flyer dropped outside al jazeera's office in cairo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

oktoba 14, 2012 huku idadi ya ndogo ya wapiga kura wakiojitokeza tena ndani ya madai ya siku nyingi ya wizi wa kura katika uchaguzi, warusi walishiriki kwa maelfu katika uchaguzi nchini kote, kupiga kura kuwachagua mameya wa miji, madiwani, na wabunge wa mikoa.

英语

on october 14, amid low turnout and perennial allegations of electoral fraud, russians participated in thousands of elections across the country, voting for local mayors, city councilors, and regional legislatures.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

斯瓦希里语

kwa kuongezea, nilifanya yote hayo pasipo kuwashirikisha wakubwa zangu, nilifanya kazi isiyo yangu, bila kupima vizuri, na pasipo usahihi, hasa kwa kuruhusu watu walio nje ya ofisi hii kukosoa kazi za ofisi kwa kina kiasi hata cha kukosoa watendaji binafsi.

英语

in addition, i acted without consulting my superiors, acted beyond my duties, without judgment, and inappropriately, by allowing the outside public to criticize the office's work too intrusively, to the point of criticizing specific individuals.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
7,788,137,771 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認