来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
rambirambi
donation by tragedy
最后更新: 2022-08-21
使用频率: 1
质量:
参考:
pesa ya rambirambi
money of condolences
最后更新: 2020-09-21
使用频率: 1
质量:
参考:
kinyume cha neno rambirambi
contrary to the word remorse
最后更新: 2018-07-17
使用频率: 1
质量:
参考:
kinyume cha neno rambirambi kwa kiswahili
the opposite of the word condolences in swahili
最后更新: 2022-08-19
使用频率: 1
质量:
参考:
washirika wake watuma salamu zao za rambirambi
colleagues pay tribute
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
kama mashaka yangu yana msingi, basi nawasilisha rambirambi zangu.
if my worries are founded,then my sincere condolences are guaranteed.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
rambirambi za dhati, mawazo na sala kwako na kwa familia yako wakati huu wa huzuni
sincere condolences, thoughts and prayers to you and your family at this sad time
最后更新: 2023-09-15
使用频率: 2
质量:
参考:
rambirambi zangu ziwafikie familia za wale wote waliouwawa na kujeruhiwa katika shambulio hili linalochefua.
my condolences to the families of those who were killed and injured in this disgusting attack.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
salamu za rambirambi zinaashiria kwamba alikuwa shujaa kwa baadhi ya watu kadhalika alichukuliwa kama muuaji katili kwa wengine.
obituaries of prabhakaran note that he was a hero to some and a ruthless killer to others.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
rambirambi zangu kwa familia ya yair clavijo kwa kifo cha ghafla cha mchezaji kinda wa timu ya sporting crital akiwa uwanjani.
my condolences to yair clavijo's family for the untimely passing of young sporting cristal player in a cusquean field.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
kwa niaba ya taifa lote, ninaungana na familia za wale waliopoteza maisha yao na kuwapa rambirambi za kila raia wa kenya kwa kilichotokea.
with the entire nation, i stand with the families of those who have lost their lives and extend every kenyan’s deepest condolences.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
rais wa korea kusini lee myung-bak ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya mwanamwali huyo kupitia balozi wa korea nchini vietnam .
south korean president lee myung-bak passed his condolence to the victim's family via korean ambassador in vietnam.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
mamia ya mashabiki wake, wakiwemo waimbaji, watu maarufu, na wanasiasa waliotoa salamu za rambirambi na heshima zao kwa mwimbaji huyo maarufu.
hundreds of his fan including popular singers, famous celebrities and politicians shared their condolences and tribute to the legendary singer.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
mijadala ya mtandaoni nchini korea kusini imefurika salamu za rambirambi kwa waathirika na wapendwa wao pamoja na hasira kali dhidi ya nahodha na wafanyakazi ambao waliokolewa mapema zaidi kabla ya abiria.
south korean online venues have been inundated with messages of condolences for the victims and their loved ones and intense anger against the captain and crew members who evacuated early , well before most of the passengers.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
rambirambi zangu za dhati kwa wewe, familia, ndugu, jamaa, marafiki na jamii. bwana akufariji na kukupa nguvu wakati huu mgumu wa kujaribu.
my sincere heartfelt condolences to you, the family, relatives , friends and community. may the lord comfort you and give you strength during this hard trying moment.
最后更新: 2022-07-07
使用频率: 1
质量:
参考:
rambirambi zilimiminika kwenye twita baada ya ndege ya shirika la ndege la ethiopia kuanguka kwenye (bahari ya) mediterani dakika chache baaday ya kupaa ikitokea beirut, lebanoni.
condolences poured in on twitter after an ethiopian airlines jet plunged into the mediterranean minutes after its take off from beirut, lebanon.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
nimesikitishwa sana na habari kwamba umempoteza baba yako. najua ni wakati mgumu kwako, jinsi ninavyoomba kwamba mungu akutie nguvu wakati huu wa kujaribu kuushinda. tafadhali pokea salamu zangu za rambirambi kwa kufukuzwa kwake. roho yake ipumzike kwa amani ya milele mpaka tukutane tena
i am deeply saddened by the news that you just lost your father. i know it is a difficult moment for you, how i pray that god strengthens you at this trying time to overcome it. please accept my sincere condolences for his dismissal. may his soul rest in eternal peace till we meet again. i am deeply sorry for the loss.
最后更新: 2023-05-22
使用频率: 1
质量:
参考:
@zittokabwe: natuma salamu zangu za rambirambi kwa wananchi wa #ethiopiakufuatia kifo cha waziri mkuu #meleszenawi.ni matumaini yangu kwamba kutakuwa na muendelezo wa kidemokrasi huko abbysinia.
@zittokabwe: my condolences to the people of #ethiopia following the death of prime minister #meleszenawi hope for a democratic developmental abbysinia
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考: