您搜索了: vibwedo vya juu leo (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

vibwedo vya juu leo

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

yeye ndiye mwenye vyeo vya juu, mwenye a'rshi.

英语

(he is allah) owner of high ranks and degrees, the owner of the throne.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwanza kabisa, viwango vyao vya juu vya kubadilika katika uzalishaji wa rna.

英语

first of all, their relatively high mutation rates in rna replication.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

na atakaye mjia naye ni muumini aliye tenda mema, basi hao ndio wenye vyeo vya juu.

英语

and the one who presents himself as a believer before him, having done good deeds – so for them are the high ranks.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hakika, wagonjwa waliopona mara nyingi wana viwango vya juu vya antibodi ikilinganishwa na pathogeni kwenye damu zao.

英语

indeed, recovered patients often have a relatively high level of antibodies against the pathogen in their blood.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bangladesh iliripoti vifo vipya vya watu watano kutokana na covid-19, visa vya juu zaidi kuripotiwa kila siku

英语

bangladesh reports five new deaths due to covid-19, a daily highest

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hata hivyo, viwango vya juu vya umaskini vya awali vililivyokuwa vyafanya watu kubaki nyuma na katika baadhi ya maeneo huduma za msingi hazijatengemaa

英语

however, high levels of pre-existing poverty are holding people back and in some areas basic services have not been re-established.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

watu wa asili ya china pamoja na waasia wengine walio nchini uingereza na marekani wameripoti viwango vya juu vya dhuluma za kirangi, pamoja na mashambulizi.

英语

chinese people as well as other asians in the united kingdom and the united states have reported increasing levels of racist abuse, as well as assaults.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

inaonekana wazi kwamba nchi za scandinavia, ambazo zina viwango vya juu vya usawa wa kijinsia, ndizo zenye viwango vya juu dhidi ya unyanyasaji wa wanawake.

英语

it seems counter intuitive that scandinavian countries, which have higher rates of gender equality should also have higher rates of violence against women.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

tofauti za kingamaradhi zinazohusiana na jinsia, kiwango cha wanawake kuvuta sigara kupunguka na wanaume kuwa na maradhi zaidi ya moja kama vile shinikizo la damu katika umri mdogo kuliko wanawake kunaweza kuwa kulichangia vifo vya juu kwa wanaume.

英语

sex-based immunological differences, lesser prevalence of smoking in women and men developing co-morbid conditions such as hypertension at a younger age than women could have contributed to the higher mortality in men.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

siku chache kabla, zelaya alimuondoa madarakani mkuu wa majeshi, jenerali romeo vasquez velasquez, jambo ambalo lilifuatiwa na kujiuzulu kwa wanajeshi wengine wa vyeo vya juu kwa sababu hawakukubaliana na kura hiyo ya maoni.

英语

days earlier, zelaya had removed the head of the armed forces, general romeo vásquez velásquez, which was followed by the resignation by other top military officials because they would not support the vote.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

msichana mmoja mchanga aliyezaliwa na mama mwenye covid-19 alikuwa na viwango vya juu vya igm saa mbili baada ya kuzaliwa, na kupendekeza kuwa alikuwa ameambukizwa kwenye tumbo la uzazi na kuonyesha uwezekano wa maambukizo ya ugonjwa kwa mtoto katika baadhi ya visa.

英语

one infant girl born to a mother with covid-19 had elevated igm levels two hours after birth, suggesting that she had been infected in utero and supporting the possibility of vertical transmission in some cases.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ingawa athari ya mabadiliko ya hali ya hewa katika ueneaji jangwa bado haijaeleweka vema, yaani kwa mujibu wa greenfacts, inafahamika kwamba viwango vya juu vya joto vinavyotokana na kuongezeka kwa viwango vya dioksidii ya kaboni kunaweza kuwa na athari mbaya kutokana na kuongezeka kwa upotevu wa maji kutoka ardhini na kupungua kwa viwango vya mvua katika maeneo yenye ukame.

英语

although the influence of climate change on desertification has not been fully understood yet, according to greenfacts, it is known that higher temperatures resulting from increased carbon dioxide levels can have a negative impact through increased loss of water from soil and reduced rainfall in drylands.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

ikilinganishwa na virusi vya sars-cov vilivyo na viwango vya juu vya kubadilika, viwango vya kubadilika kwa sars-cov-2 ni bayana kuwa viko chini, hali inayoashiria uwezekano wa juu zaidi wa kuzoeleka kwa binadamu.

英语

compared to sars-cov with a high mutation rate, the mutation rate of sars-cov-2 is apparently lower, suggestive of a higher level of adaptation to humans.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,778,061,490 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認