您搜索了: washairi (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

washairi

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

washairi mehdi mousavi na fatemeh ekhtesari wametokomea nchini uajemi.

英语

poets mehdi mousavi and fatemeh ekhtesari disappeared in iran.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa mujibu wa taarifa za habari, washairi hao wamewekwa kizuizini tangu mwanzoni wa mwezi desemba.

英语

news reported that the two have been detained since early december.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

zaidi ya watu mia mbili wametia saini hati ya malalamiko mtandaoni na kutoa wito kwa umoja wa mataifa kuchukua hatua kuhusiana na hali za wanaharakati wa utamaduni hususani suala la washairi hao vijana nchini irani.

英语

more than two hundred people signed an online petition and called on the un to take action about the situation of cultural activists particularly the case of these two young poets in iran.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blogu hiyo ina sehemu kwa ajili ya mashairi yanayoanndikwa na washairi kadhaa wa kiafrika, mahojiano na washairi, waandishi vile vile na habari na taarifa juu ya washairi wa kimataifa na waandishi hali kadhalika.

英语

the blog features poetry by various african poets, interviews with poets, writers as well news and information on world renowned poets and writers alike.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blogu hiyo pia ina zana nyingi kwa washairi wanaochipukia kwani ina orodha ya viungo vinavyoelekea kwenye majarida yanayochapisha ushairi, waandishi ambao wameonyeshwa kwenye blogu na viungo vingi vinavyovutia waandishi hii ikiwa ni pamoja na picha za sura zao.

英语

the blog also has a lot of resource material for would be poet as it lists links to various poetry publishing magazines, writers who have been featured in the blog and other links of interest to writers including their potrait photos.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kama alivyosema mtu mmoja: ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko! ni kama washairi wenu wengine walivyosema: sisi ni watoto wake.

英语

for in him we live, and move, and have our being; as certain also of your own poets have said, for we are also his offspring.

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika insha yake ya pili, "wakati ni huu", williams anapendekeza kwamba "kundi la wasomi, wahariri na wasanifu wenye visheni ... wanaosukumwa na roho chipukizi na ya kijasiriamali" hawana budi "kuchukua changamoto ya kuunda mahali katika mtandao patapotumiwa na waandishi na washairi wetu wanaohangaika ili kuwasaidia waweze kusimama kwa miguu yao ili kwa upande wao nao pia walete maarifa na msisimko mpya."

英语

in his second essay, "now is the time", williams proposes that "a group of intellectual, editorial and it visionaries with ... pioneering spirit and the entrepreneurial drive" ought to "take up the challenge of creating an online home for our struggling writers and poets to help them stand on their feet so they in turn can help usher in a new dawn of knowledge and enlightenment."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,793,701,118 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認