您搜索了: mtoto wa tembo anaitwa nani (斯瓦希里语 - 荷兰语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Dutch

信息

Swahili

mtoto wa tembo anaitwa nani

Dutch

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

荷兰语

信息

斯瓦希里语

mtoto wa shule mwenye umri wa miaka 14 siyo mtu mzima.

荷兰语

een 14-jarig schoolmeisje is geen volwassene.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

china ni kichocheo cha biashara ya pembe za ndovu, lakini hata hivyo inadai haihusiki na uwindaji haramu wa tembo.

荷兰语

china is de drijvende kracht achter de ivoorhandel, maar men beweert dat men niet verantwoordelijk is voor stroperij.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya watu wanapenda kutumia majina ya baba zao kwa kutumia utaratibu wa kuwapa watoto majina kwa mfumo wa kiingereza aung san suu kyi ni mtoto wa kike wa aung san na hayma nay win ni mtoto wa kike wa nay win.

荷兰语

sommige mensen stellen het op prijs om hun vaders naam te gebruiken, volgens het britse naamsysteem. aung san suu kyi is de dochter van aung san , en hayma nay win is de dochter van nay win.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

muungano wa watu binafsi na asasi zisizo za serikali zinazoguswa na tatizo la ujangili wa tembo, hong kong kwa tembo, uliandamana mnamo oktoba 4 katikati ya jiji wakiitaka serikali ya hong kong kuteketeza hifadhi yake ya tani 25 za pembe za ndovu.

荷兰语

bezorgde burgers en ngo's (niet gouvernementele organisaties) die zich hebben verenigd in de coalitie 'hong kong for elephants' kwamen op 4 oktober in het centrum van hongkong bij elkaar . zij riepen het bestuur van de regio op om de hele voorraad in beslag genomen ivoor, 25 ton, te vernietigen.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwanablogu ahmed shokeir aliendesha taftishi ya kutafuta watu 10 wenye ushawishi zaidi nchini misri baada ya kushangazwa na matokeo ya gamal mubarak, mtoto wa rais hosni mubarak wa misri - kama mmoja wa washindi 100 wa mwisho wa mwaka 2009 wa time.

荷兰语

blogger ahmed shokeir was verbaasd toen hij las dat gamal mubarak , de zoon en verwachte opvolger van de egyptische president hosni mubarak, een van de finalisten is van de time 100 van 2009. daarom heeft hij een enquête gehouden om erachter te komen wie de 10 invloedrijkste mensen in egypte zijn.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

insha ya atwood kwenye wavuti ya amnesty international inaonyesha mambo mawili, sehemu inayohusu taratibu za kujifungua huku umefungwa minyororo kama yalivyoelezwa kwenye mtoto wa vanessa na pia inaonyesha jambo jingine kuhusu mfumo wa magereza na umama, kwa kutumia picha za wanawake wakati mpigapicha akisoma insha kuhusu uzoefu wake wa kutembelea magereza huku akipiga picha.

荷兰语

in de documentaire van atwood, die is te zien op de website van amnesty international, wordt in vanessa's baby het verhaal verteld van een vrouw die is bevallen terwijl zij geboeid was. er is ook een verhaal te zien over het gevangeniswezen en het moederschap . de fotografe leest een verhaal voor over haar ervaringen bij het bezoeken van en fotograferen in de gevangenissen, terwijl er foto's van de vrouwen te zien zijn.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

makala za global voices zilizosomwa zaidi mwaka 2011 misri: usiku waisha, baada ya mchana wa ghadhabu japan: tunashindwa na kampuni ya apple, na hizi ni sababu kuchora ramani ya janga la mafuriko ya thailand (na (and also hii hapa pia) syria: “msichana msagaji akamatwa mjini damascus (na hii hapa pia) ufilipino: mjadala juu ya mswada wa talaka japan: kutuma ujumbe wa twita kutoka fukushima ufilipino: lolong, mamba mkubwa zaidi duniani india: mtoto wa aishwarya rai na wazimu wa vyombo vya habari misri: mtetezi wa haki za wanawake achapisha picha ya uchi “kuonyesha uhuru wake” japan: kuhusu majanga ya asili na miujiza, tafakari binafsi serbia: miitikio kuhusu habari ya wanajeshi wa ki-serbia wanaokodiwa kupigana nchini libya tetemeko kubwa zaidi katika historia ya matetemeko nchini japani bendera mpya ya myanmar na jina jipya mexico: hofu, mashaka na wasiwasi juu ya alama #opcartel ya mtu asiyetumia jina lake mwandishi wa nyimbo wa ajentina facundo cabral auawa huko guatemala afrika, ufaransa: nafissatou diallo ni nani?

荷兰语

populairste artikelen op global voices in 2011: egypt: night falls, after day of rage japan: we're losing to apple, and here's why mapping the thailand flooding disaster (en dit artikel) syrië: ‘gay girl in damascus' opgepakt (en dit artikel) philippines: debate on divorce bill japan: tweeting from fukushima philippines: lolong, world’s largest crocodile india: aishwarya rai's baby and media madness egypt: feminist publishes nude photograph to “express her freedom” japan: over rampen en wonderen - een persoonlijk verslag serbia: reactions to the story of serbian mercenaries in libya japan: hevigste aardbeving uit de geschiedenis myanmar (birma): nieuwe vlag en nieuwe naam mexico: fear, uncertainty and doubt over anonymous' #opcartel argentine songwriter facundo cabral murdered in guatemala africa, france: who is nafissatou diallo?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,788,059,715 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認