您搜索了: uhusiano (斯瓦希里语 - 西班牙语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

Spanish

信息

Swahili

uhusiano

Spanish

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

西班牙语

信息

斯瓦希里语

madagascar: kuishi ughaibuni hubadili uhusiano

西班牙语

madagascar: vivir en el extranjero cambia a un hombre

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

pendekezo hili litawahamasisha wanandoa kuthamini uhusiano wao uliopo.

西班牙语

esta proposición motivará que las parejas valoren su relación existente.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

redio zamaneh ina uhusiano na mabloga katika njia nyingi.

西班牙语

en muchas maneras, radio zamaneh está conectada con bloggers y blogueo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kwa hiyo unapendekeza uhusiano wa mwajiriwa/mwajiri kwa wanandoa?

西班牙语

¿sugieren una relación empleado/patrón en un matrimonio?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

je kuna uhusiano upi baina yao na wanawake wa kuvutia waliojibadilisha?

西班牙语

entonces, ¿cuál es la conexión con esas mujeres maravillosamente disfrazadas?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

makundi yaliyoanzishwa kwenye facebook hayana uhusiano na vikundi vikuu vya upinzani.

西班牙语

los grupos iniciados en facebook no están afiliados a un gran grupo de la oposición.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kristo anawezaje kupatana na shetani? muumini ana uhusiano gani na asiyeamini?

西班牙语

¿qué armonía hay entre cristo y belial? ¿qué parte tiene el creyente con el no creyente

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

nilikuwa na uhusiano mzuri na rafiki yangu tangu tulipokuwa madarasa ya juu ya sekondari.

西班牙语

tenía un buen amigo en toda la secundaria.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika uhusiano wowote, uwe wa kidiplomasia au usio wa kidiplomasia, lazima twende kwa makini.

西班牙语

en cualquier relación, ya sea diplomática o no diplomática, no deberiamos apresurar las cosas.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kila hukumu ya mahakama haina uhusiano na haki, ni mwendelezo wa visasi na vita kati ya makundi mawili

西班牙语

cada veredicto de la corte no tiene nada que ver con la verdadera justicia, tiene que ver con la venganza y la guerra existencial entre 2 entidades.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

akiandika kwa ajili ya lex fori philippines, oscar anasisitiza athari za pendekezo hili kwenye uhusiano wa mali.

西班牙语

oscar, que escribe para lex fori philippines, destaca el impacto de esta propuesta en las relaciones de propiedad.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

kumekuwepo uvumi kwamba vladimir putin ana uhusiano wa kimapenzi na mcheza sarakasi wa zamani aliyezaliwa uzbekistan alina kabaeva.

西班牙语

desde hace tiempo, hay rumores de que putin tiene una relación romántica con la exgimnasta alina kabaeva, nacida en uzbekistán.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya watu walisema kwamba anataka mwanae awe na mtindo wa kawaida wa maisha, kitu ambacho hakina uhusiano na uzalendo.

西班牙语

algunos internautas dijeron que sólo quiere que su hijo tenga un estilo de vida de lo más normal, algo que nada tiene que ver con el patriotismo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwaka 2006 mimi na ethan tuliandika makala kwa ajili ya jarida la nieman reports ambamo tulitaka kuelezea uhusiano kati ya global voices na uanahabari.

西班牙语

en 2006 ethan y yo escribimos un artículo para la revista nieman reports en donde buscamos explicar la relación entre global voices y el periodismo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hivi karibuni wanablogu walijadili athari ya kuishi ughaibuni kwa mienendo ya wamadagascar na jinsi mabadiliko hayo yanavyoathiri uhusiano na marafiki na ndugu zao walio nyumbani.

西班牙语

recientemente, los bloggers discutieron el impacto de vivir en el extranjero en el comportamiento de los malgaches y cómo altera sus relaciones con sus amigos y parientes en casa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

alieleza kuhusu uhusiano wake na jumuiya ya sauti za dunia na jinsi teknolojia ya kenya inavyozidi kuwa ya ubunifu, hasa katika sekta ya vifaa vya mkononi kama simu.

西班牙语

explicó su relación con global voices y cómo la tecnología de kenia sigue innovándose, especialmente en el rubro de la telefonía celular.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hili ni swali la kimaadili, wanawezaje kuhalalisha kuniua mimi kwa sababu ni shoga, ninayeishi katika uhusiano wa kishoga na mtu mwingine ambaye naye ni shoga?

西班牙语

esta es una pregunta moral, ¿cómo pueden justificar mi muerte por ser gay y estar enamorado de otro gay?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

blogu ya racism review ililichachafya suala la bardwell “ kujali watoto” kwa ushahidi wa watoto waliotakana na uhusiano wa rangi tofauti:

西班牙语

el blog racism review rebatió la “preocupación de bardwell por los hijos” con evidencias de hijos de relaciones interraciales:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

bw. asisa ambaye ni mwanachama wa walinzi wa amani wa amasom nchini somalia alipatiaka na hatia ya kujuhusisha na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke wa kisomali aitwaye nimco omar na kumpa ujauzito baada ya kumuoa kwa kumdanganya kuwa alikuwa mwislamu.

西班牙语

el señor asisa, que es un miembro del cuerpo de paz del amasom en somalia, fue declarado culpable de involucrarse en una aventura con una joven somalí llamada nimco omar y dejarla embarazada luego de casarse con ella en una falsa ceremonia aduciendo que él era musulmán.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

aliyekuwa katibu mkuu wa nato wa masuala ya uhusiano wa kimataifa kolinda grabar kitarović amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi ya croatia, kwa kumshinda rais aliyemaliza muda wake katika uchaguzi wa kwanza kabisa mara baada ya nchi hii ndogo ya ulaya ya kusini kujiunga na jumuia ya umoja wa ulaya mapema mwaka jana.

西班牙语

la anterior secretaria general adjunta para la diplomacia pública kolinda grabar kitarović ha sido elegida como la primera presidenta de croacia, derrotando al actual presidente en las primeras elecciones presidenciales, desde que este pequeño país del sudeste de europa se adhiriera a la unión europea en el 2013.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,793,981,334 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認