您搜索了: neige (法语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

法语

斯瓦希里语

信息

法语

neige

斯瓦希里语

theluji

最后更新: 2012-07-13
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

neige à mazandaran.

斯瓦希里语

theluji huko mazandaran.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

le lundi, la neige avait fondu.

斯瓦希里语

ilipofika jumatatu theluji ilikuwa imekwishayeyuka.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

on pourrait commencer à déblayer la neige...

斯瓦希里语

kumbe tunaweza kuanza na kuzoleana theluji...au siyo?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

avec chacun une pelle à neige à la main.

斯瓦希里语

kila mmoja akiwa na sepeto ya kusombea theluji.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

chine : de la neige "made in china"

斯瓦希里语

china: barafu iliyotengezwa uchina

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

法语

d'autres internautes ont ironisé sur la neige.

斯瓦希里语

wanamtandao wengine wameanza utani kuhusu barafu hiyo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

la neige d'hier était la plus précoce depuis 10 ans.

斯瓦希里语

barafu ya jana ilikuwa ya mapema zaidi katika miaka kumi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

tempête de neige en iran : 500.000 personnes sans électricité, gaz ni eau

斯瓦希里语

theluji nchini iran: watu 500,000 wakosa umeme, nishati ya gesi pamoja na maji

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

un responsable local a parlé de plus forte chute de neige depuis 50 ans.

斯瓦希里语

afisa mmoja alisema kuwa hili ni anguko kubwa la theluji ambalo halikuwahi kutokea kwa miaka 50 iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

cela a eu pour effet d'augmenter la quantité de neige de 16 millions de tonnes.

斯瓦希里语

athari zilizojitokeza ni kuongezeka kwa theluji kwa tani milioni 16.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

le prix de l'eau en bouteilles a été multiplié par quatre pendant les jours de neige.

斯瓦希里语

gharama ya maji ya chupa yalipanda mara nne zaidi ya bei ya kawaida katika kipindi cha tatizo la theluji.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

le mois dernier le 10 janvier), saham borghani partageait une a photo de thé et de neige.

斯瓦希里语

saham borghani mwezi uliopita (tar 10 januari) aliweka picha ya chain a barafu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

dimanche 1er novembre, les premières chutes de neige, les plus précoces depuis 22 ans, sont tombées sur pékin.

斯瓦希里语

jumapili hii iliyopita tarehe 1 novemba, beijing ilishuhudia kuanguka kwa mapema zaidi kwa theluji katika miaka 22 iliyopita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

la nuit précédant la neige, le gouvernement a lancé des fusées contenant de l'iodure d'argent dans les nuages.

斯瓦希里语

usiku kabla ya barafu, serikali ililipua angani kemikali ya fedha ya ayodaidi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

sa tête et ses cheveux étaient blancs comme de la laine blanche, comme de la neige; ses yeux étaient comme une flamme de feu;

斯瓦希里语

nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba safi, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto;

最后更新: 2012-05-05
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

la sécheresse concernait 800 000 hectares de terres agricoles à la fin du mois d'octobre, selon les estimations officielles, et la tempête de neige était attendue comme un bienfait par les agriculteurs locaux.

斯瓦希里语

ukame umeathiri heka 800,000 za mashamba kufikia mwishoni mwa oktoba, vyanzo rasmi vilikadiria, na tufani ya barafu inasemekana kuwa ilihitajika sana kama msaada kwa wakulima wa sehemu hiyo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

500.000 personnes seraient privées d'électricité, de gaz ou d'eau dans leurs villages après l'énorme tempête de neige de ce week-end dans les provinces du nord de l'iran, gilan and mazandaran.

斯瓦希里语

inataarifiwa kuwa watu 500,000 wameshindwa kutoka katika vijiji wanavyoishi huku wakikosa huduma ya umeme, nishati ya gesi pamoja na maji hali iliyotokana na kutanda kwa theluji mwisho wa wiki hii kaskazini mwa nchi ya iran katika majimbo ya, gilan na mazandaran.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

获取更好的翻译,从
7,777,902,685 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認