您搜索了: population (法语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

French

Swahili

信息

French

population

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

法语

斯瓦希里语

信息

法语

recensement de la population

斯瓦希里语

sensa

最后更新: 2015-04-27
使用频率: 7
质量:

参考: Wikipedia

法语

chine : pays riche, population pauvre

斯瓦希里语

china: nchi imara, watu maskini

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

différentes couleurs reflètent la densité de la population.

斯瓦希里语

ramani hiyo inatofautishwa kwa rangi ili kuonyesha uwingi was watu katika maeneo hayo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

plusieurs pays ont commencé à encourager leur population à utiliser des masques.

斯瓦希里语

nchi kadhaa zimeanza kuhimiza matumizi ya barakoa na watu wa umma.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

"parce que mon gouvernement et mes dirigeants doivent considérer leur population.

斯瓦希里语

"kwa sabbau serikali yangu na watawala wake wanapaswa kuthamini watu wao wenyewe.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia
警告:包含不可见的HTML格式

法语

tâche difficile on l’a vu face à une partie de population versatile.

斯瓦希里语

kazi ngumu, ukizingatia kuyumbayumba kwa maoni ya wananchi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

alissa est venue au kenya où elle travaillait depuis plusieurs mois avec la population de kibera.

斯瓦希里语

alissa alikuwa amekuja kenya, na kwa muda wa miezi kadhaa, alikuwa anafanya kazi na watu wanaoishi kibera.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

cette politique vise à réduire les taux de contact parmi la population et minimiser ainsi la transmission du virus.

斯瓦希里语

sera hii inalenga kupunguza viwango vya mgusano miongoni mwa watu na hivyo kupunguza usambazaji wa virusi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

ces statistiques ne sont pas limitées dans le temps et suivent une population spécifique de la contamination au terme de la maladie.

斯瓦希里语

takwimu hizi hazifungiwi na kigezo cha muda na zinafuata idadi mahususi ya watu kuanzia tukio la maambukizi hadi kutatuliwa kwa kisa.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

en thaïlande, les autorités sanitaires encouragent la population à fabriquer des masques faciaux chez soi et à les nettoyer chaque jour.

斯瓦希里语

maafisa wa afya thailand wanahimiza watu kutengeneza barakoa kwa kutumia vitambaa nyumbani na kuviosha kila siku.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

le blog saudi gazette rapporte que le boycott des produits américains pour soutenir la population de gaza commence à trouver un large écho en arabie saoudite.

斯瓦希里语

gazeti la saudi liliripoti kwamba kususia bidhaa za marekani ili kuwaunga mkono watu wa gaza kumeanza kumea nchini saudi arabia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

69 décès (0,004 % de la population) ont été confirmés comme liés à la covid-19.

斯瓦希里语

69 (asilimia 0.004 ya idadi ya watu) wamethibitishwa kuwa wamekufa kwa sababu ya covid-19.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

depuis de nombreuses années, les quatre cov acquis en communauté circulent au sein de la population, déclenchant un simple rhume chez les sujets immunocompétents.

斯瓦希里语

kufuatilia chanzo cha hcov kutoka kwa wanyama hutoa utaratibu wa kuelewa historia asilia, msukumo na vigezo vya uzuiaji wa ugonjwa kusambaa baina ya aina za wanyama.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

cela comprend les travailleurs en contact avec le grand public notamment dans les écoles, des environnements de travail à haute densité de population et certains environnements de détail à grand volume.

斯瓦希里语

hii inajumuisha wafanyakazi ambao hutangamana na umma kwa ujumla kama vile shuleni, mandhari ya kazi yenye idadi ya watu wengi, na sehemu kadhaa ya biashara rejareja yenye watu wengi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

des écoles et des universités ont fermé à l’échelle nationale ou locale dans 193 pays, touchant approximativement 99,4 pour cent de la population étudiante mondiale.

斯瓦希里语

shule na vyuo vikuu zimefungwa katika msingi wa kimataifa au la eneo husika katika nchi 193, na kuathiri takriban asilimia 99.4 ya idadi ya wanafunzi duniani.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

btan croit que si les organisateurs n'ont pas réussi à rassembler suffisamment de signatures, c'est parce que la population ne soutient pas vraiment la pétition.

斯瓦希里语

btan anaamini kuwa waandaaji walishindwa kukusanya saini za kutosha kwa sababu kampeni hiyo haiungwi mkono kwa dhati na umma

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

44 000 enfants, c'est la population des moins de 5 ans de toute la région alpes-de-haute-provence.

斯瓦希里语

pia, ni idadi ya wahanga wa mashambulizi ya kigaidi ya septemba 11, zaidi ya mara 15.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

@dgtlubun2: seulement en tanzanie : plus de 80% la population vit dans la pauvreté mais les députés reçoivent des promotions à 185%.

斯瓦希里语

@dgtlubun2: ni tanzania peke yake ambapo zaidi ya asilimia 80 ya watu wanaishi kwenye umasikini, lakini wabunge wanapata ongezeko la asilimia 185 kama posho ya kuhudhuria vikao.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

au cours des 20 dernières années, la population de l'ukraine a diminué de 5 millions (passant de 52 à 47 millions d'habitants).

斯瓦希里语

kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita, sensa ya watu nchini ukraine ilionyesha kupungua kwa watu milioni tano (kutoka watu milioni 52 hadi milioni 47).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

法语

a) la population n'hésiterait pas à s'organiser en milices privés, et b) les flics ne pourraient pas arrêter les attentats ouvertement islamiques, n'est-ce pas ?

斯瓦希里语

kwanza, makundi yanaweza kushinikiza mabadiliko ya sheria hii bila ya kuwa na kizuizi chochote na hivyo bila ya kuwa na wasiwasi wowote. pili, maafisa wa polisi hawawezi kuzuia mauaji ya wazi kabisa ya washia, inawezekanaje hali hii?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

参考: Wikipedia

获取更好的翻译,从
8,028,908,285 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認