您搜索了: quotidiennement (法语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

French

Swahili

信息

French

quotidiennement

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

法语

斯瓦希里语

信息

法语

ils ont quand même pu avoir 2 patients de hjra au lieu des 25 prévus quotidiennement.

斯瓦希里语

madaktari hao wakaishia kupata wagonjwa wawili wa hospitali hiyo badala ya wagonjwa 25 kwa siku.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

法语

lorsqu'un époux viole sa femme, ils se côtoient quotidiennement par la suite.

斯瓦希里语

pale mume anapom’baka mke wake, wataendelea wanaonana kila siku.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

法语

ils ont aussi blogué quotidiennement sur le vécu de leur grève de la faim sur un blog qui avait été censuré en tunisie .

斯瓦希里语

vijana hao pia wameandika makala mbalimbali kwenye blogu kuhusu mgomo wao wa kula wakieleza uzoefu wao wa siku hadi siku, na blogu hiyo imekuwa ikithibitiwa sana nchini tunisia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

法语

la grippe porcine ou virus h1n1 fait encore la une des journaux dans tout le monde arabe tandis que les autorités sanitaires continuent de découvrir de nouveaux cas que la presse signale quotidiennement.

斯瓦希里语

homa ya mafua ya nguruwe au h1n1 bado inatawala vichwa vya habari vya magazeti katika nchi za kiarabu kwani wagonjwa wapya wanaendelea kugunduliwa na mamlaka za afya na kutangazwa katika vyombo vya habari kila siku.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

法语

l'organisation se sert de twitter pour poster quotidiennement des informations sur le virus ebola et organise des chats sur ebola entre les experts et le public :

斯瓦希里语

mradi huo unatumia mtandao wa twita kuposti habari zinazohusiana na ebola kila siku na kuratibu majadiliano yanayohusu virusi vya eloba kati ya wataalam na umma wa wananchi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

法语

le syrian news network s.n.n a lui aussi activement mis à jour son site web et publié quotidiennement des photographies retraçant les destructions dans les trois principales villes de syrie : alep, homs, et damas.

斯瓦希里语

mtandao wa habari wa syria s.n.n pia umekuwa tayari wakati wote kuweka picha kwenye mtandao huo zikionesha uharibifu katika majiji muhimu matatu ambayo ni aleppo, homs na damascus

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

法语

au centre européen de prévention et de contrôle des maladies (cepcm), le nombre de cas de covid-19 signalés dans chaque pays à travers le monde, obtenu uniquement à partir de sources officielles telles que les ministères de la santé, les autorités nationales et régionales de santé des différents pays ainsi que l’oms, est mis à jour quotidiennement à 08 h 00.

斯瓦希里语

katika kituo cha kuzuia na kudhibiti ugonjwa ya ulaya (ecdc), idadi iliyoarifiwa ya visa vya covid-19 katika kila nchi duniani kote, iliyopatikana kutoka vyanzo vyovyote rasmi kama vile who, husasishwa kila siku saa 8:00 asubuhi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,747,934,005 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認