您搜索了: android bulk upload is no longer available (英语 - 斯瓦希里语)

英语

翻译

android bulk upload is no longer available

翻译

斯瓦希里语

翻译
翻译

使用 Lara 即时翻译文本、文件和语音

立即翻译

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

understandably, the facebook page sima links to is no longer available.

斯瓦希里语

inaweza kueleweka kwa nini, ukurasa wa mtandao wa facebook unamwuunganisha sima haupatikani tena.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it remains unclear why the videos are no longer available.

斯瓦希里语

bado haieleweki kwa nini video hizo hazipatikani tena.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a screen shot of a page which used to allegedly sell syrian antiques on facebook is no longer available

斯瓦希里语

picha ya ukurasa huo unaodaiwa kuuza sarafu za kisyria kwenye mtandao wa facebook ambao kwa sasa haupatikani

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

but there is no longer a monopoly on broadcasting information.

斯瓦希里语

lakini hakuna tena ukiritimba wa kutangaza habari.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

president mohamed morsi is no longer the president of egypt.

斯瓦希里语

rais mohamed morsi si rais wa misri tena.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

what we have this morning is no longer the venezuela story you thought you understood.

斯瓦希里语

kile tulichokishuhudia asubuhi hii si habari ya venezuela uliyodhani unaielewa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it is no longer surprising news when the government some days shuts down public institutions due to air pollution.

斯瓦希里语

hivi leo, si habari za kushangaza tena kusikia kuwa siku fulani serikali imesitisha huduma katika taasisi za serikali kwa sababu ya uchafuzi wa hewa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the rifle is taken apart in a way that it is no longer considered a weapon and cannot be used as such.

斯瓦希里语

kinachofanyika ni kuwa, bunduki hufumuliwa kwa namna ambayo haiwezi kuchukuliwa tena kama silaha na wala kutumiwa kwa matumizi ya namna hiyo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

#dearnyerere tanzanite is no longer tanzanian, you preserved it for us but the people are gaining very little from it.

斯瓦希里语

tanzanite si mali ya wa-tanzania tena, uliyahifadhi kwa ajili yetu lakini wananchi wananufaika nayo kidogo sana.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it is no longer plausible that educated people (or even uneducated ones) should live in their countries of birth.

斯瓦希里语

imani kwamba watu wenye elimu (au hata wasiosoma) wanapaswa kuishi katika nchi walizozaliwa imepitwa na wakati.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

in his column, "the state is no longer what it was" , in la gaceta magazine, rafael bardají says that

斯瓦希里语

katika safu yake, "hali haiko tena kama ilivyokuwa" , katika jarida la la gaceta, rafael bardají anasema kwamba

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

the current prime minister beriziky stated on 30/05 that andry rajoelina is no longer eligible to seat at the government meetings because he should have already resigned from his position.

斯瓦希里语

waziri mkuu wa sasa beriziky alitoa tamko tarehe 30 mei kwamba andry rajoelina hana sifa tena ya kuendelea kushiriki vikao vya serikali kwa sababu alipaswa tayari awe ameshajiuzulu nafasi yake.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

though he is no longer with us, we hope to help create the type of country u win tin sought: one represented by the people, all people, unbound by authoritarian control.

斯瓦希里语

ingawa hayupo tena nasi, tunatumaini kusaidia kujenga aina ya nchi u win tin aliyoitaka: moja inayowakilishwa na watu, watu wote, isiyo na utawala wa kimabavu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it's been an incredible year for the reach and recognition of citizen media around the world, and that means global voices is no longer as lonely a media voice when it comes to reporting tweets and blog posts.

斯瓦希里语

umekuwa mwaka wa ajabu kwa vyombo vya kiraia duniani kote ambavyo viliweza kufika mbali zaidi na kutambuliwa, na hiyo ina maana global voices haijabaki kuwa sauti pweke ya vyombo vya habari vya kiraia linapokuja suala la twita zinazotuma taarifa na posti za kwenye blogu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

now the debate is no longer about whether the ruling party's candidate will get a landslide victory - as in the previous election. rather, it is about how much that victory will be cut.

斯瓦希里语

...hata kama chama tawala, ccm, kimeweka wazi kuwa mgombea wao hatashiriki mdahalo ... kwa upande wake mwandishi wa habari mpiga picha, issa michuzi, anayeendesha blogu yenye kusomwa sana nchini na nje ya nchi, issamichuzi yeye anafuatilia kampeni za mh jakaya kikwete mgombea urais wa ccm pamoja na waungaji wake mkono wa karibu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

@mksesay: "for the media, it is no longer politically correct to talk of blind people but of people living with a visual handicap" - tidiane kasse

斯瓦希里语

@mksesay: " kwenu vyombo vya habari, kisiasa si sahihi tena kuzungumzia vipofu bali watu wanaoishi na ulemavu wa macho" - tidiane kasse

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

there was added complexity as some computerized medical record (cmr) suppliers use the read coding systems (read clinical terms version 3 – ctv3), which is no longer updated.

斯瓦希里语

kulikuwa na hali changamano iliyoongezeka kwa kuwa baadhi ya watoa huduma za rekodi za matibabu zilizowekwa kwenye kompyuta (crm) hutumia mifumo ya usimbaji ya uliosomwa ( toleo la majina yaliyosomwa ya kimatibabu 3 - ctv3), ambao hausaishwi tena.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

and the day he will call to them, "where are my 'partners'?" they will say, "we announce to you that there is [no longer] among us any witness [to that]."

斯瓦希里语

na siku atakayo waita, akawaambia: wako wapi washirika wangu? hapo watasema: tunakiri kwako ya kwamba hapana miongoni mwetu anaye shuhudia hayo.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
8,917,262,188 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認