您搜索了: collected (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

collected

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

and collected [wealth] and hoarded.

斯瓦希里语

na akakusanya mali, kisha akayahifadhi.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

they also collected signatures at the besada.

斯瓦希里语

pia walikusanya saini besada.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

and when the apostles are collected at the appointed time,

斯瓦希里语

na mitume watakapo wekewa wakati wao,

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

when moses' anger calmed down, he collected the tablets.

斯瓦希里语

na musa ilipo mtulia ghadhabu aliziokota zile mbao.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

ushahidi collected eyewitness reports of violence placed them on a map.

斯瓦希里语

ushahidi ilikusanya taarifa za ushuhuda wa kuona za mapigano na kuziweka kwenye ramani.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

there are other videos collected on the blog news from native california.

斯瓦希里语

zipo video nyingine zilizokusanywa kwenye blogu ya habari kutoka california ya asili.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

all samples collected will be tested for the presence of influenza and covid-19.

斯瓦希里语

sampuli zote zilizokusanywa zitapimwa kwa uwepo wa homa ya mafua na covid-19.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

the blog wawuti.com has collected a comprehensive selection (see also photo above).

斯瓦希里语

blogu ya wavuti.com imetengeneza mkusanyiko mzuri (pamoja na picha iliyotumika hapo juu).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a good geographical spread is important, so phe can advise on areas where serology will most usefully be collected.

斯瓦希里语

maenezi mazuri kijiografia ni muhimu, ili phe iweze kushauri kuhusu maeneo ambapo serolojia itakusanywa kwa umuhimu zaidi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

bloggers who both knew the region and were outside the country to see the big picture and collected the photographs, videos and twitter confessions.

斯瓦希里语

wanablogu ambao kwanza wanaijua nchi na pili walikuwa nje ya nchi ili kuweza kuona vizuri zaidi matukio ya ndani ambapo walikusanya picha, video na taarifa zilizotumwa kwa twita.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

samples (swabs or serum) collected will be sent via prepaid envelopes addressed to the appropriate phe laboratory for analysis.

斯瓦希里语

sampuli (swabu au serami) zilizokusanywa zitatumwa kupitia bahasha zinazolipiwa awali zinazotumwa katika mahabara yafaayo ya phe ili kufanyiwa uchanganuzi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

additionally, phe will retrospectively test any influenza virology samples collected between early and mid-february 2020 for covid-19.

斯瓦希里语

isitoshe, phe itafanya vipimo vya sampuli zozote zilizokusanywa awali za vairolojia ya homa ya mafua zilizokusanya kati ya mapema na katikati ya mwezi februari 2020 kwa covid-19.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

based on this, plasma was collected from the blood of a group of patients who recovered from covid-19 and was injected into 10 seriously ill patients.

斯瓦希里语

kutokana na haya, plasma iliyokusanywa kutoka kwa damu za kikundi cha wagonjwa ambao walipona kutokana na covid-19 ilitumika kuwadunga wagonjwa 10 waliokuwa katika hali mbaya sana.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

american student and afrophile karen kilberg collected a few of her favorite posts about the meme, and also quotes african blogger tatenda muranda on twitter as to why she wrote the post:

斯瓦希里语

mwanafunzi kutoka amerika anayependa afrika, karen killenberg, alikusanya vichapisho vichache alivyovipenda kuhusu jinsi watu wanavyopenda afrika, na pia anamanukuu mwanablogu tatenda muranda katika twitter kuhusu sababu zake za kuandika:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

apart from raising public awareness, the coalition will submit the signatures collected from the online petition to the hong kong government and hasarranged a meeting with the agriculture, fisheries and conservation department to discuss their petition to destroy the stockpiles of confiscated ivory.

斯瓦希里语

mbali na kukuza uelewa wa jamii, muungano huo utawsilisha saini zilizokusanywa kutokana na tamko la mtandaoni kwa serikali ya hong kong na umeandaa mkutano na idara ya kilimo, uvuvi na hifadhi kujadili tamko lao la kuteketezwa kwa shehena ya pembe za ndovu zilzokamatwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

from data we collected based on farmers’ use of cell phones to access fertilizers and seeds last year, we found that the total number of transactions done by phone with respect to the ges scheme was 4.9 million.

斯瓦希里语

kutokana takwimu tulizozikusanya kwa kuangalia namna wakulima wanavyotumia simu za mkononi kupata mbolea na mbegu kwa mwaka jana, tuligundua kwamba idadi ya miamala iliyofanywa kwa njia ya simu katika mpango wa ges ilifikia 4,900,000.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

and (remember) the day that the enemies of allah will be gathered to the fire, so they will be collected there (the first and the last).

斯瓦希里语

na siku watakapo kusanywa maadui wa mwenyezi mungu kwenye moto, nao wakikgawanywa kwa makundi.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

she had been employed by the wealthy and influential former president of lahore's bar association, and for a generous $8 a month she cleaned her employer's toilets, the cars that filled their suburban garage, and the filth that collected on the floors of their home.”

斯瓦希里语

binti huyu alikuwa ameajiriwa na mtu tajiri na mwenye uwezo mkubwa aliyewahi kuwa rais wa chama cha wanasheria, na binti huyu alichokuwa akilipwa ni dola 8 tu kwa mwezi huku baadhi ya majukumu yake yakiwa ni kusafisha choo, magari yaliyokuwa ayakiegeshwa hapo katika nyumba iliyo pembezoni kidogo mwa mji, pamoja na kuondoa taka zote katika nyumba hiyo ya ghorofa."

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,793,272,105 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認