您搜索了: establishes (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

establishes

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

allah blots out, and he establishes what he will.

斯瓦希里语

mwenyezi mungu hufuta na huthibitisha ayatakayo.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

and allah eliminates falsehood and establishes the truth by his words.

斯瓦希里语

na mwenyezi mungu anaufuta upotofu na anaithibitisha haki kwa maneno yake.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

and from our creation is a group that shows the truth and establishes justice with it.

斯瓦希里语

na katika tulio waumba wako watu wanao ongoza kwa haki, na kwayo wanafanya uadilifu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

god causes falsehood to vanish and, by his words, firmly establishes the truth.

斯瓦希里语

na mwenyezi mungu anaufuta upotofu na anaithibitisha haki kwa maneno yake.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

god establishes the truth by his words, however much the sinners may dislike it."

斯瓦希里语

na mwenyezi mungu huhakikisha haki kwa maneno yake, hata wanga chukia wakosefu

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

allah makes to pass away and establishes what he pleases, and with him is the basis of the book.

斯瓦希里语

mwenyezi mungu hufuta na huthibitisha ayatakayo. na asili ya hukumu zote iko kwake.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

and among the people of moosa is a group that shows the true path, and establishes justice with it.

斯瓦希里语

na katika kaumu ya musa lipo kundi linao waongoa watu kwa haki na kwa haki wanafanya uadilifu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

it has been decided that satan will mislead and submit anyone who establishes friendship with him to the torment of the burning fire.

斯瓦希里语

ameandikiwa kwamba anaye mfanya kuwa rafiki, basi huyo hakika atampoteza na atamwongoza kwenye adhabu ya moto mkali.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

but allah abolishes that which shaitan (satan) throws in. then allah establishes his revelations.

斯瓦希里语

lakini mwenyezi mungu huyaondoa anayo yatia shet'ani; kisha mwenyezi mungu huzithibitisha aya zake.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

it may be that allah establishes love between you and those with whom you are at enmity. allah is the powerful, allah is the forgiving and the most merciful.

斯瓦希里语

asaa mwenyezi mungu akatia mapenzi baina yenu na hao maadui zenu, na mwenyezi mungu ni mweza, na mwenyezi mungu ni mwenye kusamehe, mwenye kurehemu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

and allah wipes out falsehood, and establishes the truth (islam) by his word (this qur'an).

斯瓦希里语

na mwenyezi mungu anaufuta upotofu na anaithibitisha haki kwa maneno yake.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

o my lord! make me one who establishes regular prayer, and also (raise such) among my offspring o our lord! and accept thou my prayer.

斯瓦希里语

nijaalie niwe mwenye kushika sala, na katika dhuriya zangu pia. ewe mola wetu mlezi, na ipokee dua yangu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

英语

according to the superintendent, upon spreading the news, teleamazonas violated article 18, number 1 of the current constitution that establishes the right of all persons to "look for, receive, exchange, produce and spread true, verified, timely, diverse, uncensored facts, events, and general interest processes is and with ulterior responsibility."

斯瓦希里语

kwa mujibu wa msimamizi, kutokana kusambaza habari hizo, teleamazonas ilikiuka kifungu 18, namba 1 cha katiba ya sasa ambayo inaweka haki ya watu wote “kutafuta, kupokea, kubadilishana, kutengeneza na kusambaza habari, zilizothibitishwa, katika muda muafaka, zenye vyanzo mablimbali na tofauti tofauti, ambazo hazijachujwa pamoja na matukio yenye maslahi ya jumla kunaambatana na wajibu ambao haujulikani.”

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,792,486,407 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認