您搜索了: highlight (英语 - 斯瓦希里语)

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

after his death, some bloggers have chosen to highlight his negative legacy.

斯瓦希里语

baada ya kifo chake, baadhi ya wanablogu wamechagua kutoa mabaya yake aliyoyaacha.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

also, with #socialismoproductivo this group aims to highlight what they consider unjustified protests and condemn violent acts.

斯瓦希里语

pia, kwa #socialismoproductivo kundi hili linmetengezwa kuonyesha kile wanachokiona kama maandamano yasiyostahili kuwa na kulaani vitendo vya vurugu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

these alarming numbers highlight the poor conditions experienced by many filipino children, who lack key social services and access to welfare.

斯瓦希里语

idadi hii inaashiria hali tete inayowakabili watoto wengi wa ufilipino, ambao wanakosa mahitaji muhimu ya kijamii pamoja na kukosa kuthaminiwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

even though more and more communities are beginning to discover the possibilities of sharing their language online, much more can be done to raise awareness and highlight these efforts.

斯瓦希里语

ingawa jamii zaidi na zaidi zinaanza kugundua uwezekano wa kuweka lugha zao mtandaoni, hatua zaidi na zaidi zinahitajika kufanyika ili kujaribu kukuza uelewa na kutangaza juhudi hizi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

it’s put in to place to highlight the obstacles that people with black minority background often encounter when trying to obtain the access to support and services they need.

斯瓦希里语

kampeni hiyo ilianzishwa ili kuonyesha vikwazo watu wenye asili ya weusi ambao mara nyingi hukutana nayo wanapojaribu kupata huduma ya kusaidia na huduma wanazohitaji.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

honeybe, another commenter on the blog post, had a more positive opinion about having faith, but also made it a point to highlight the negative aspects of religion.

斯瓦希里语

honeybe, mtoa maoni mwingine kwenye blogu hiyo, alikuwa na maoni chanya kuhusu kuwa na imani, lakini alisaili matatizo ya dini.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

i would be remiss to not highlight the work of our female researchers and research reviewers who, it must be said, have proven themselves to be the hardest working members of our team on the technology for transparency network.

斯瓦希里语

sitakuwa nimetenda haki kama sitataja kazi za watafiti wetu wa kike na watafiti wakosoaji ambao, hatuna budi kusema, wamejidhibitisha kuwa wachapa kazi hodari miongoni mwa wanachama wa timu yetu ya mtandao wa teknolojia wa kutetea uwazi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

this marks the sixth post in our series – “they have names” – that seeks to highlight the individual bloggers who are currently in jail.

斯瓦希里语

makala hii ni ya tatu katika matoleo ya makala zetu za – “wanayo majina” – iliyo na madhumuni ya kuwazungumzia wanablogu ambao hadi sasa wapo gerezani.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

jj rawlings, an unofficial blog site created to highlight the work and thoughts of the former president posted a positive report on may 18, 2009 about president rawlings’ trip to south africa on behalf of president mills.

斯瓦希里语

jj rawlings, blogu isiyo rasmi iliyotengenzwa kutoa dondoo za kazi na mawazo ya rais huyo wa zamani iliweka taarifa nzuri tarehe 18 mei, 2009 kuhusu safari ya rais rawlings kwenda afrika kusini kwa niaba ya rais mills.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

last week, we featured our debut post from a series - "they have names" - that hopes to highlight the individual bloggers who are currently in jail.

斯瓦希里语

wiki iliyopita, tuliweka makala yetu ya kwanza kutoka kwenye mfululizo wa makala- "wanayo majina" - iliyo na tumaimi la kuwazungumzia wanablogu ambao hadi sasa wapo gerezani.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

highlights

斯瓦希里语

mambo muhimu/ mambo machache ya muhimu yatokanayo na tukio kuu

最后更新: 2022-01-19
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

获取更好的翻译,从
9,164,198,870 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認