您搜索了: intensive care unit (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

intensive care unit

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

this may also lead to post-intensive care syndrome following recovery.

斯瓦希里语

hii inaweza kusababisha pia matatizo ya kiafya ambayo husalia baada ya ugonjwa mkali kupona.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

approximately 20-30% of patients subsequently require intensive care and mechanical ventilation.

斯瓦希里语

takriban 20-30% ya wagonjwa baadaye huhitaji tiba ya kina na mashine za kusaidia kupumua.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

medical records from milpark hospital indicate 16 people were at the intensive care unit this morning at the hospital and none of the president.

斯瓦希里语

nyaraka za matibabu kutoka hospitali ya milpark zinaonyesha kuwa watu 16 walikuwa katika kitengo cha wagonjwa mahututi na hapakuwa na nyaraka zozote zinazomhusu rais.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

do the treatments affect the need for people with covid-19-induced pneumonia to be ventilated or maintained in intensive care?

斯瓦希里语

je, matibabu hayo huathiri hitaji la watu wenye nimonia ya covid-19 kuongezwa hewa au kusalia katika kitengo cha huduma maalum?

最后更新: 2024-04-13
使用频率: 1
质量:

英语

comorbidities and complications: patients with covid-19 who require intensive care are more likely to suffer from acute cardiac injury and arrhythmia.

斯瓦希里语

magonjwa na hali za afya za awali: wagonjwa waliokuwa na covid-19 waliohitaji matibabu wana uwezekano wa kuambukizwa jehaha mbaya la moyo na moyo kutopiga vyema.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

genesis carmona (23) wounded by a bullet at the protest in valencia comes out of the operating theatre, is now in intensive care.

斯瓦希里语

genesis carmona (23) amejeruhiwa na risasi akiwa kwenye maandamano jijini valencia ametoka kwenye chumba cha upasuaji, na sasa yu katika chumba cha wagonjwa mahututi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

failing this, it is likely that the healthcare systems of other eu/eea countries will face a surge of patients that require intensive care within the coming days or weeks.

斯瓦希里语

kukosa kufanya hivyo, kuna uwezekano wa mifumo ya tiba ya afya ya nchini nyingine za eu/eea kukabiliwa na ongezeko la wagonjwa wanaohitaji tiba ya kina ndani ya siku au wiki zijazo.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

this means that countries may have more or less resources than italy (12.5 intensive care and intermediate care beds per 100,000 population in 2010–11).

斯瓦希里语

hii inamaanisha kwamba nchi zinaweza kuwa na rasilimali chache au nyingi kuliko italia (vitanda vya kulaza watu walio katika hali mahututi na matibabu ya wastani 12.5 kwa kila idadi 100,000 mwaka 2010-11).

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

in ca 14% cases, covid-19 develops into a more severe disease requiring hospitalisation while the remaining 6% cases experience critical illness requiring intensive care.

斯瓦希里语

katika 14% ya visa, covid-19 hukua kwa ugonjwa wa hali mbaya zaidi unaohitaji mtu kulazwa hopsitalini huku 6% ya visa vilivyosalia vikiwa vya hali mahututi vinavyohitaji matibabu ya hali mahututi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

based on the experience from italy, countries, hospitals and intensive care units should increase their preparedness for a surge of patients with covid-19 who will require healthcare, and in particular intensive care.

斯瓦希里语

kulingana na hali ilivyo nchini italia, mataifa, hospitali na vitengo vya kushughulikia wagonjwa mahututi vinapaswa kuongeza hali yao ya kuwa tayari kwa ongezeko la wagonjwa wa covid-19 watakaohitaji matiababu na hasa hali mahututi.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

a study performed in 2010–11 showed a large variation in the availability of intensive care and intermediate care beds in europe, ranging from 29.2 in germany to 4.2 beds per 100,000 population in portugal.

斯瓦希里语

utafiti uliofanywa 2010-11 ulionyesha tofauti kubwa katika upatikanaji wa vitanda vya matibabu ya hali mahututi na ya wastani barani ulaya, kuanzia 29.2 nchini ujerumani hadi vitanda 4.2 kwa kila idadi ya watu 100,000 nchini ureno.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

early march 2020, doctors in the affected regions of italy described a situation in which ca 10% of patients with covid-19 required intensive care and media sources reported that hospitals and intensive care units in these regions had already reached their maximum capacity.

斯瓦希里语

mapema machi 2020, madaktari katika maeneo yaliyoathirika ya italia walifafanua hali ambapo 10% ya wagonjwa wa covid-19 walihitaji tiba ya kina na vyanzo vya habari viliripoti kwamba hospitali na vitengo vya kushughulikia wagonjwa mahututi tayari vilikuwa vimejaa pomoni.

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

data on admission of covid-19 cases in a hospital and/or an intensive care unit are currently available at eu/eea level for only 6% and 1% cases, respectively (data not shown).

斯瓦希里语

data kuhusu kulazwa kwa wagonjwa wa visa vya covid-19 katika hospitali au kitengo cha kushughulikia wagonjwa mahututi kwa sasa zinapatikana kiwango cha eu/eea kwa 6% na 1% ya visa mtawalia (data haijaonyeshwa).

最后更新: 2020-08-25
使用频率: 1
质量:

英语

“while in icu, a decision was made by the hospital that i start the pain and palliative care unit . i was nominated to be a committee member of the staff that were going to come up with the unit. after all the logistics were done, i was posted to the pain and palliative care unit as the in charge in the year march 2007. i was deployed with another nurse and a doctor and given a room where we would see our patients who at the time were not many, as the patient number grew, we were given anothe

斯瓦希里语

“nikiwa icu, uamuzi ulitolewa na hospitali kwamba nianzishe kitengo cha maumivu na tiba hivyo nikateuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya watumishi ambao watakuja na kitengo hicho. baada ya vifaa vyote kukamilika, niliwekwa kwenye kitengo cha maumivu na palliative care kama msimamizi mnamo machi 2007. niliwekwa pamoja na muuguzi mwingine na daktari na kupewa chumba ambacho tungeona wagonjwa wetu ambao wakati huo. hawakuwa wengi, idadi ya wagonjwa ilipoongezeka, tulipewa mwingine

最后更新: 2021-12-27
使用频率: 1
质量:

参考: 匿名

一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。

获取更好的翻译,从
7,792,870,030 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認