您搜索了: motorcade (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

motorcade

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

police blocked the march from getting near the motorcade, however.

斯瓦希里语

polisi hata hivyo waliwazuia kuukaribia msafara wa papa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

human rights groups were blocked by the police from getting near the pope motorcade.

斯瓦希里语

makundi ya haki za kijamii yalizuiwa na polisi kuukaribia msafara wa papa francis.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

a group activists carrying signs for social justice says the police prevented it from staging a demonstration in sight of the pope's motorcade.

斯瓦希里语

kikundi cha wanaharakati kilichokuwa na mabango yanayopinga hali mbaya ya haki za kijamii nchini humo kinasema polisi waliwazuia kufanya maandamano mbele ya msafara wa papa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

meanwhile, officials erected a green wall along the pope's motorcade route, preventing him and other motorists from seeing the urban poor who live beyond the barrier.

斯瓦希里语

wakati huo huo, maafisa wa serikali walitengeneza kwa haraka ukuta wa kijani pembezoni mwa barabara ambazo msafara wa papa francis ungepita, kwa lengo la kumzuia papa na watu wengine waliokuwa kwenye msafara huo kuo mitaa wanayoishi maskini pembezoni mwa kizuizi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

before heading out the door to join "motorcade in progress in falmouth", he also notes that the victory was a special one for him, since he knows bolt personally:

斯瓦希里语

kabla kutoka mlangoni kwenda kujiunga na msafara wa magari uliokuwa ukiendelea huko falmouth", naye pia anasema ushindi huu ulikuwa una maana maalum kwake pia, kwa vile anamfahamu bolt kwa ukaribu:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

英语

however, when sata appeared at a may 1 labour day parade to receive a traditional salute from workers in the land, the appearance was very brief and only accompanied by a one minute address before getting into his motorcade for a three kilometre drive back to the presidential palace, a lot of people were convinced the president was not well.

斯瓦希里语

hata hivyo, sata mwenyewe alipoonekana hadharani kwneye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mei mosi kupokea heshima kutoka kwa wafanyakazi nchini humo, na kukaa kwa muda mfupi hapo, na kutoa hotuba fupi ya dakika moja kabla ya kuingia kwenye msafara wake kurudi ikulu, watu wengi walianza kuamini kuwa rais si mzima.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,747,310,020 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認