您搜索了: shahbag (英语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

English

Swahili

信息

English

shahbag

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

英语

斯瓦希里语

信息

英语

i keep thinking about shahbag.

斯瓦希里语

ninaendelea tu kufikiri kuhusu shahbag.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

image courtesy shahbag movement facebook page.

斯瓦希里语

picha kwa hisani ya ukurasa wa facebook wa harakati za shahbag.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

i reiterate that these days of shahbag will be part of history.

斯瓦希里语

narudia kusema kuwa, siku hizi za kukusanyika shahbag zitakuwa ni sehemu ya historia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

according to some estimates as many as 500,000 people are at shahbag.

斯瓦希里语

inakadiriwa kuwa zaidi ya watu 500,000 wamekusanyika huko shahbag.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

the protesters have vowed to keep shahbag occupied till their demands are met.

斯瓦希里语

waandamanaji wameapa kuendelea kukaa shahbag hadi hapo madai yao yatakapo fanyiwa kazi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

this post is part of our special coverage bangladesh's #shahbag protests

斯瓦希里语

makala hii ni sehemu ya makala zetu maalum za maandamano ya bangladeshi bangladesh's #shahbag protests

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

when i am hungry, i come back home, eat my lunch and go back to shahbag.

斯瓦希里语

ninapohisi njaa, huwa ninarudi nyumbani, ninakula chakula cha mchana na kurudi tena shahbag.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

those who are protesting in shahbag, they are not doing it to empower any party.

斯瓦希里语

wote wanaoandamana huko shahbag, hawafanyi hivyo ili kukinyang’anya chama chochote madaraka.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

bangladesh unites at shahbag for 42-year-old war crimes · global voices

斯瓦希里语

bangladeshi: raia wakutana kudai haki itendeke

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

blogger, writer and teacher moom rahaman calls everyone to join in at the shahbag intersection:

斯瓦希里语

mwanablogu, mwandishi na mwalimu, moom rahaman anamtaka kila mmoja kufika katika makutano ya shahbag:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

shimul bashar, a reporter of a private tv channel has hopes for the #shahbag protests:

斯瓦希里语

shimul bashar, mwandisshi wa habari wa kituo cha televisheni cha kujitegemea ana mategemeo kakubwa kufuatia #maaandamano ya shahbag

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

mohiuddin, a self proclaimed atheist, has been vocal for the shahbag movement and wrote against religion and religious politics.

斯瓦希里语

mohiuddin, aliyejitangaza hadharani kuwa ni mtu asiyeamini mungu, amekuwa akizungumzia harakati za shahbag na aliandika kupinga dini na siasa za udini.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

those youth who are in the city and have not managed to come to shahbag, please know that you are far away from history, away from the present and future.

斯瓦希里语

vijana walioko jijini na walioshindwa kufika shahbag, tafadhali tambua kuwa uko mbali sana na historia, uko mbali sana na wakati huu na pia uko mbali sana na wakati ujao.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

government officials responded by blocking critical websites and making arrests, of bloggers and leaders from the religious right, at the height of #shahbag protests in 2013.

斯瓦希里语

kufuatia tuhuma hizi kwa wanablogu hawa, serikali iliamuru kufungwa kwa tovuti makini na kukamatwa kwa wanablogu pamoja na viongozi kwa kutumia sheria ya dini wakati ambapo maandamano ya #shahbag ya 2013 yalipokuwa wameshika hatamu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

i go to shahbag three times aday, shout slogans, when i am tired, i scratch my head, look around, see with wonder that the lamp posts have become hanging posts.

斯瓦希里语

ninafik ashahbag mara tatu kwa siku, ninatamka kwa sauti kubwa kauli mbiu mbalimbali, ninapochoka, huwa ninakuna kichwa changu, ninatazama pande zote, ninaangalia kwa mshangao kuwa, milingoti ya taa imekuwa milingoti ya kunyongea watu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

英语

@shahbaginfo: rh negative blood needed in #shahbag; 700 bags of #blood collected here, 500 sent to dhaka medical college & enam medical college. #savar

斯瓦希里语

@shahbaginfo: damu yenye rh hasi inahitajika #shahbag; mifuko 700 ya damu imekusanywa hapa, 500 imetumwa katika hospitali ya chuo cha dhaka na kwenye kambi; hospitali ya chuo cha enam. #savar

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,750,006,762 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認