来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
swahili slogans on the environment
ngonjera za kiswahili kuhusu mazingira
最后更新: 2022-02-26
使用频率: 1
质量:
参考:
lucky akter shouting slogans.
lucky akter akitamka kwa sauti kubwa kauli mbiu mbalimbali.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
swahili slogans on industrial economy
ngonjera za kiswahili kuhusu uchumi wa viwanda
最后更新: 2022-08-18
使用频率: 2
质量:
参考:
swahili slogans about english are good languages
ngonjera za kiswahili kuhusu kiingereza lugha nzuri
最后更新: 2021-07-19
使用频率: 1
质量:
参考:
#sassoufit slogans at protests against nguesso via canalfrance info
kauli mbio za #sassoufit kwenye maandamano yanayompinga nguesso. picha kupitia canalfrance info
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
twitter was also flooded with funny slogans by palestinian protesters.
mtandao wa twita pia ulifurika misemo mingi ya utani iliyowekwa na waandamanaji wa palestina.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
a student using a megaphone while shouting slogans at a protest in budapest on wednesday.
mwanafunzi akitumia kipaza sauti katika kutamka kauli mbiu mbalimbali wakati wa maandamano ya budapest siku ya jumatano.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
non-nobel dr. zafar iqbal has came to the podium with his wife to shout slogans.
non-nobel dr. zafar iqbal ambaye hana tuzo ya nobeli, ameshapanda jukwaani na kusema kwa sauti kubwa kauli mbiu.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
a demonstration in valiasr street in tehran where thousands of protesters demonstrated and chanted slogans against the ahmadinejad government.
maandamano katika mtaa wa valiasr mjini tehran ambako maelfu ya waandamanaji walipinga kwa kuimba kauli mbiu dhidi ya serikali ya ahmadinejad.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
if they just saw the stories and just turned on the tv and heard the slogans, they would know that this is not a revolution against them.
laiti wangefuatilia habari na kutazama televisheni na wangezisikia kauli mbiu, wangejua kuwa haya si mapinduzi dhidi yao.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
there were also rhythmic, rap-style slogans, and both youth speak and the local wolof language were heard.
pia palikuwa na kauli mbiu zenye vina katika mtindo wa ughanii wa kufoka, na pia misemo ya vijana pamoja na lugha ya wolof pia vilisikika.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
after prayer, people gathered in front of the mosque and marched on one of the main roads in wad nubawi chanting anti-regime slogans.
baada ya swala, watu walikusanyika mbele ya msikiti na kuandamana kupitia barabara za mitaa ya wad nubawi wakiimba kauli mbiu za kupinga utawala wa nchi hiyo.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
in sofia, the slogans included: "let's set the monopolies on fire!"; "balkans, wake up!
huko sofia, baadhi ya kauli mbiu zilikuwa ni: "tuuchome moto ukiritimba!"; "watu wa bulgaria, amkeni!
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
警告:包含不可见的HTML格式
i go to shahbag three times aday, shout slogans, when i am tired, i scratch my head, look around, see with wonder that the lamp posts have become hanging posts.
ninafik ashahbag mara tatu kwa siku, ninatamka kwa sauti kubwa kauli mbiu mbalimbali, ninapochoka, huwa ninakuna kichwa changu, ninatazama pande zote, ninaangalia kwa mshangao kuwa, milingoti ya taa imekuwa milingoti ya kunyongea watu.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
thousands of protesters defied the islamic regime today by protesting during student day, chanting slogans against ali khamenei, the leader of the islamic republic, and protesting the government's foreign policy.
maelfu ya waandamanaji hawakuujali utawala wa kiislamu leo kwa kuandamana wakati wa siku ya mwanafunzi, wakiimba kaulimbiu dhidi ya ali khamenei, kiongozi wa jamuhuri ya kiislamu, na wakipinga sera ya mambo ya nje ya serikali.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
参考:
slogan tungkol sa pang aapi
slogan tungkol ay isang pang aapi
最后更新: 2015-09-11
使用频率: 1
质量:
参考: