您搜索了: electorado (西班牙语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Spanish

Swahili

信息

Spanish

electorado

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

西班牙语

斯瓦希里语

信息

西班牙语

ante el temor a perder futuros votos del electorado conservador, parece que los políticos de izquierda han preferido guardar silencio.

斯瓦希里语

woga wa kupoteza kura za wapiga kura wahafidhina kwa siku za mbeleni, inaonekana kwamba wanasiasa wa mrengo wa kushoto waliona ni bora kubaki kimya.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

de acuerdo a la principal corriente de oposición el “90 por ciento” del electorado del país no concurrió a las urnas.

斯瓦希里语

kwa mujibu wa chama kikuu cha upinzani, “asilimia 90” ya wapiga kura hawakujitokeza kupiga kura.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

las sociedad civil, los medios y las instituciones religiosas están jugando un papel vital en asegurarse que el electorado tenga la información correcta respecto de las elecciones.

斯瓦希里语

vyama vya kiraia, vyombo vya habari na taasisi za kidini vinafanya wajibu wake muhimu katika kuhakikisha kuwa wapiga kura wanazo taarifa sahihi kuhusiana na uchaguzi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

al hacerlo se podría satisfacer tanto el electorado nacional -estaba criticando a los homosexuales- e igualmente el internacional dejando este resquicio legal.

斯瓦希里语

katika kufanya hivyo, angeweza kuwaridhisha wananchi wake wa ndani -aliwakosoa mashoga - lakini na watu wa nje, kwa kuacha upenyo wazi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

nigeria no es conocida por sus receptivos líderes. raramente, los políticos de alto nivel se comprometen con el electorado, y es una queja común que la voz del pueblo se queda sin ser escuchada.

斯瓦希里语

nigeria si nchi inayofahamika kuwa na viongozi wanaowasiliana na umma.wanasiasa wa ngazi za juu hujishughulisha kwa nadra sana kuwasiliana na wapiga kura wao, na mara nyingi kuna malalamiko kwamba sauti za watu huwa hazipewi nafasi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

milind deora se jacta de ser el primer candidato disponible para el electorado en whatsapp y bbm (blackbery messenger), y proporciona un mapa interactivo para seguir todas sus actividades e iniciativas.

斯瓦希里语

milind deora anatamba kuwa mgombea wa kwanza kupatikana kwa wapiga kura wake kwenye mtandao wa whatsapp na bbm, na huko anajadili mpango kazi wake ikiwa ni pamoja na shughuli zake na mipango yake.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

el problema no fue siquiera el mensaje de ‘cambio', que fue bien aceptado y se 'pegó' en los oídos de los votantes, sino más bien un serio problema de evaluar el potencial del electorado en términos de resultados, es decir, cantidad de votos que el partido reuniría en esa provincia, municipalidad y comuna.

斯瓦希里语

tatizo halikuwa ujumbe wa 'mabadiliko', ujumbe ambao ulikubalika na 'ulinasa' kwenye masikio ya wapiga kura, bali tatizo nyeti lilikuwa kwenye kutathmini nguvu ya wapiga kura, yaani jumla ya kura ambazo chama kingeweza kukusanya katika jimbo hili, manispaa au kijiji.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
8,025,443,208 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認