您搜索了: entiendo (西班牙语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Spanish

Swahili

信息

Spanish

entiendo

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

西班牙语

斯瓦希里语

信息

西班牙语

personalmente no entiendo a los que odian a la vuvuzela.

斯瓦希里语

binafsi siwaelewi wanaoichukia vuvuzela.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

¡no entiendo el apoyo a la ley anti-gay de uganda!

斯瓦希里语

siwezi kuelewa wanaounga mkono mswada huu!

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

no entiendo esa fijación con un límite al mandato de un cargo por elección.

斯瓦希里语

sielewi hizi porojo za ukomo wa madaraka.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

entiendo por qué algunos zambianos deberían estar preocupados por la salud de los candidatos presidenciales.

斯瓦希里语

ninaweza kuona kwa nini baadhi ya wazambia wana sababu ya kuwa na wasiwasi na afya ya wagombea urais.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

no entiendo por qué una persona tiene que esperar un década solamente para deshacerse de su esposa infiel.

斯瓦希里语

sielewi kwa nini mtu asubiri kwa muongo ili amtose mke wake anayetembea nje.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

no entiendo por qué nadie hace nada, esta cumbre es una gran oportunidad para protestar en contra del régimen.

斯瓦希里语

sielewi kwa nini hakuna anayejitokeza kufanya kitu. mkutano huu ni fursa kubwa kufanya maandamano dhidi ya utawala.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

@iyad_elbaghdadi : no entiendo el contexto del video del arresto de #morsi.

斯瓦希里语

@iyad_elbaghdadi: sielewi mukhtadha wa video hii ya kukamatwa kwa #morsi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

ahora entiendo qué intentaban los burundeses cuando le dijeron a nkurunziza que se fuera a uganda si quería la presidencia vitalicia.

斯瓦希里语

sasa ninaweza kuelewa kile walichokimaanisha wa-rundi walipomwambia nkurunziza kwenda uganda kama alitaka kuwa rais wa maisha

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

entiendo que hay muchas personas que no soportan estar casadas un minuto más, pero qué pasaría con los hijos si esta propuesta tiene efecto.

斯瓦希里语

sielewi ni vipi kuna watu wengi ambao hawawezi kuwa kwenye ndoa hata kwa dakika moja zaidi, je nini kitakachotokea kwa watoto wao ikiwa pendekezo hili litafanya kazi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

si hubiera sido un civil, entiendo la decisión de que trató de escapar debido a la represión de compañías o de otras organizaciones a las que pertenecía.

斯瓦希里语

kama angekuwa raia wa kawaida, ningeelewa uamuzi wake dhidi ya makumpuni au asasi gandamizi ambapo angekuwa akifanyia kazi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

finalmente entiendo esa cosa sobre la que he leído en los libros, cuando los encallecidos corresponsales hablan de la desesperación que se siente de volver a los lugares totalmente jodidos que han cubierto cuando las cosas van a peor.

斯瓦希里语

hatimaye nimefahamu lile jambo ambalo nimelisoma kwenye vitabu, ambapo waandishi wakongwe huliongelea kuhusu hisia ya kukata tamaa inayowapata wanapotaka kurejea kwenye maeneo yaliyoharibiwa kabisa ambayo waliwahi kuyaandika wakati mambo yalipochukua mkondo mbaya zaidi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

@gsquare86: no entiendo como el líder del moi aldy fue sentenciado y aun ningún policía ni su gente fue acusada de nada?!!!! #mubaraktrial

斯瓦希里语

@gsquare86: sielewi vipi mkuu wa moi aldy alishtakiwa ilhali hakuna polisi wala msaidizi wake hawakushtakiwa na lolote?!!!!#manzayamubarak

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

"estábamos en bradford, que según entiendo es una de las ciudades más pobres y con mayor concentración de paquistaníes del reino unido, y definitivamente había personas entre la audiencia que tenían un problema con la obra.

斯瓦希里语

"kuna wakati tulikuwa bradford, ninakodhani ni moja wapo ya miji masikini zaidi na yenye watu wengi zaidi wenye asili ya pakistani nchini uingereza, na kulikuwa na watu kwenye hadhira yangu waliokerwa na onesho hilo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

西班牙语

entonces pedro, al volver en sí, dijo: "ahora entiendo realmente que el señor ha enviado su ángel y me ha librado de la mano de herodes y de toda la expectación del pueblo judío.

斯瓦希里语

hapo ndipo petro alipotambua yaliyotukia, akasema, "sasa najua kwa hakika kwamba bwana amemtuma malaika wake akaniokoa kutoka katika mkono wa herode na kutoka katika mambo yale yote watu wa israeli waliyotazamia."

最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

西班牙语

entiende lo que digo

斯瓦希里语

unajua nikukumbuka sana

最后更新: 2012-03-09
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,794,472,696 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認