您搜索了: intención (西班牙语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Spanish

Swahili

信息

Spanish

intención

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

西班牙语

斯瓦希里语

信息

西班牙语

incluso solo la intención es digna alabanza.

斯瓦希里语

hata lengo tu lafaa kusifiwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

para conseguir este propósito, gobernaremos con la intención de:

斯瓦希里语

ili kutekeleza visheni hii, tunaomba ridhaa yenu ili:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

.dijo: «¿cuál era vuestra intención cuando solicitasteis a josé?»

斯瓦希里语

mfalme alisema: mlikuwa mna nini mlipo mtaka yusuf kinyume na nafsi yake?

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

西班牙语

@masamhat: robert mugabe dice que no tiene intención de retirarse.

斯瓦希里语

@masamhat: robert mugabe anasema hana mpango wowote wa kustaafu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

por su parte, @lunarnomad habló de la intención detrás de la etiqueta:

斯瓦希里语

@lunarnomad alizungumzia kuhusu lengo la kampeni hiyo:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

mi intención era escribir sobre mis sentimientos y sin embargo estoy dejando este post incompleto…

斯瓦希里语

pamoja na kuwa nililenga kuandika mawazo yangu, ninaiacha makala hii bila kuimalizia…

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

¿no es otra intención para halagar a los nigerianos?” escribió my pen and my paper.

斯瓦希里语

je, hii si njia nyingine ya kujaribu kuwahadaa wanigeria?" aliandika my pen and my paper.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

西班牙语

no hacéis mal en proponer a tales mujeres casaros con ellas o en ocultarles vuestra intención de hacerlo.

斯瓦希里语

wala si vibaya kwenu katika kupeleka posa kwa ishara tu kwa wanawake waliomo edani au mkadhamiria katika nyoyo zenu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

西班牙语

alá no tendrá en cuenta la vanidad de vuestros juramentos, pero sí tendrá en cuenta la intención de vuestros corazones.

斯瓦希里语

mwenyezi mungu hakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi. bali anakushikeni kwa yanayo chuma nyoyo zenu.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

西班牙语

los carleles levantados por su partido apoyando su intención de seguir gobernando el país están por toda la ciudad capital, kampala.

斯瓦希里语

mabango yaliyotengenezwa na chama chake kuunga mkono nia yake ya kuendelea kuitawala nchi hiyo yameenea kwenye jiji la kampala, makao makuu ya nchi hiyo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

anunció su intención de presentarse por el bloque de la oposición chama cha demokrasia and maendeleo (chadema) poco después.

斯瓦希里语

muda mfupi baadae, alieleza nia yake ya kujiunga na chama cha upinzani, chama cha demokrasia and maendeleo (chadema).

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

entonces, todos estos años cuando dijo que necesitaba más tiempo para profesionalizar el ejército, su intención era lavarle el cerebro para hacer lo que se le antoja.

斯瓦希里语

kw ahiyo, miaka yote hii aliposema alihitaji muda zaidi kulifanya jeshi liwe la kisasa, alimaanisha kulipumbaza akili lifanye anachotaka yeye.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

el centro para control de enfermedades tiene la intención de fumigar de modo aéreo con miras a las moscas negras, ya que se cree que estos insectos son el principal motivo de la enfermedad.

斯瓦希里语

kituo cha kukabiliana na ugojwa huu kimepanga kupulizia dawa kutoka angani ili kuangamiza inzi weusi wanaosadikiwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha ugojwa huu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

lo que está pasando hoy día en burundi es una reminiscencia de lo que sucedió el año pasado en burkina faso cuando el por largo tiempo jefe de estado blaise compaore fue depuesto por los militares luego de declarar su intención de buscar un nuevo mandato.

斯瓦希里语

kiel kinacotokea leo burundi ni mapaki ya kile kilichotokea mwishoni mwa mwaka jana nchini burkina faso, wakati mkuu wa nchi aliyetawala muda mrefu blaise compaore alipong'olewa madarakani na jeshi baada ya kutangaza dhamira yake ya kugombea tena kipindi kingine cha utawala.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

milocas pereira fue agredida a comienzos de mayo por desconocidos, antes de haber comunicado a algunas personas su intención de irse de angola como consecuencia de esta agresión, que ella misma señaló como la causa de su decisión.

斯瓦希里语

milocas pereira alishambuliwa mwanzoni mwa mwezi mei na watu wasiofahamika, baada ya kuwa aliwasiliana na watu wake wa karibu aliokuwa amezungumza nao kuhusiana na nia yake ya kuondoka angola. alibainisha kuwa shambulio hilo lilikuwa ni sababu ya uamuzi huo.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

cuando el enviado vino a él, dijo: «¡vuelve a tu señor y pregúntale qué intención animaba a las mujeres que se hicieron cortes en las manos!

斯瓦希里语

basi mjumbe alipo mjia yusuf alisema: rejea kwa bwana wako ukamuulize khabari ya wale wanawake walio jikata mikono yao.

最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:

西班牙语

cuando el equipo del presidente de zambia, michael sata, dio a conocer fotos de una supuesta reunión de gabinete a los medios locales y las publicó en facebook, la intención era desechar las afirmaciones de que el líder no está bien o no está trabajando.

斯瓦希里语

timu ya rais wa zambia, michael sata ilipotoa picha hizo zinazosemekana kuwa ni za kikao cha baraza la mawaziri kwa vyombo vya habari vya nchi hiyo na kuzichapisha kwenye ukurasa wa facebook, lengo lilikuwa kumaliza madai kwamba kiongozi huyo ni mgonjwa na hajawa akifanya kazi.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

el director del banco mundial para zambia, malawi y zimbabwe, kundhavi kadiresan, criticó la decisión y afirmó que los pobres agricultores de zambia están siendo explotados pues algunos comerciantes estaban comprándoles maíz con la intención de revenderlo a un precio más alto a la estatal agencia de reserva alimentaria .

斯瓦希里语

mkurugenzi wa benki ya dunia kwa nchi za zambia, malawi na zimbabwe, bw. kundhavi kadiresan aliukosoa uamuzi huo na kudai kwamba wakulima masikini wa zambia wananyonywa kwa sababu baadhi ya wafanyabiashara walikuwa wananunua mahindi kutoka kwa wakulima hao kwa ajili ya kuliuzia shirika linaloendeshwa na serikali liitwalo hifadhi ya chakula kwa bei ya juu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

- no todos los ladrones tienen malas intenciones, algunos son oportunistas que solamente tienen hambre;

斯瓦希里语

-si wezi wote wana nia mbaya, wengine ni wabahatishaji wenye njaa tu;

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,781,101,210 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認