您搜索了: intercambio (西班牙语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Spanish

Swahili

信息

Spanish

intercambio

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

西班牙语

斯瓦希里语

信息

西班牙语

intercambio de fuego entre comandos y terroristas en este momento.

斯瓦希里语

makomandoo na magaidi wanajibizana kwa risasi wakati huu.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

twitter es extremadamente popular en tanzania como herramienta para intercambio de opiniones y debate, y también para dar a conocer noticias.

斯瓦希里语

twita ni maarufu sana nchini tanzania kama chombo cha kubadilishana maoni na kuendesha mjadala na pia jukwaa la kutoa habari za papo kwa papo, au hivi punde.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

hanani era originario de nablus y fue deportado a gaza como uno de los prisioneros liberados en el acuerdo de intercambio de prisioneros hace unos pocos meses atrás.

斯瓦希里语

hanani alitokea nablus kwa asili na alihamishiwa gaza kama mmoja wa wafungwa walioachiwa huru katika mpango wa kubadilishana wafungwa miezi michache iliyopita. katika kujibu mashambulizi, vikundi vya ulinzi vya ki-palestina vilivyo kwenye ukanda wa gaza vililipua mabomu kuelekea israel, bila kudhuru mtu yeyote.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

el africa web festival es una plataforma para el intercambio entre expertos, entusiastas de internet y novatos de todo el mundo, donde se discutirá el estado actual de los asuntos del campo del desarrollo de internet.

斯瓦希里语

africa festival web ni jukwaa la kubadilishana uzoefu miongoni mwa wataalam, wapenda mtandao na watu wajifunzao mambo mapya kutoka duniani kote, ambako hali ya sasa ya mambo kwenye ukuzaji wa mtandao itajadiliwa.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

@nidak_ (nida khan): entretenido intercambio de troleos entre hafiz saeedand y la embajada de ee. uu. de islamabad.

斯瓦希里语

@nidak_ (nida khan): kuvumilia jumbe za kashfa zinazoendelea kati ya hafiz saeed na ubalozi wa marekani mjini islamabad ni 1-1, ningeweza kusema. #mzunguko unaofuata?

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

el isis había exigido la liberación de rishawi como parte de un trato de intercambio de prisioneros con las autoridades jordanas por el teniente muath al-kaseasbeh, que fue capturado por militantes del isis luego que su avión fuera derribado a fines de diciembre de 2014 en siria.

斯瓦希里语

hapo awali, isis walitaka rishawi aachiwe kama sehemu ya makubaliano na serikali ya jordan na isis ya kumwachia luteni muath al-kaseasbeh, ambaye alikamatwa na askari wa isis mara baada ya ndege yake kutunguliwa mnamo tarehe 3 desemba, 2014 nchini syria.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

西班牙语

alef también colgó varios faxes que este sitio intercambió con la universidad de oxford sobre el tema.

斯瓦希里语

vilevile tovuti ya alef imepandisha kwenye ukurasa wake faksi kadhaa ambazo iliandikiana na chuo kikuu cha oxford kuhusiana na jambo hili.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,794,557,171 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認