Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
Among the factors contributing to the problem are lack of alternative sentencing options at trial and delays in the administration of the criminal justice system.
Miongoni mwa mambo yanayochangia tatizo ni ukosefu wa chaguzi za adhabu mbadala katika kesi na ucheleweshaji katika utawala wa mfumo wa makosa ya jinai.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
It also identified how travel and tourism “comprised another risk factor contributing to children’s vulnerability.”
Utafiti huo pia umeonyesha namna kusafiri na utalii "ni hatari nyingine inayochangia shida za kudhalilishwa zinazowakumba watoto."
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
Using crowdsourced photos, contributing photographers retell the story of life after the earthquakes: the devastation, rescue, relief, reconstruction, and the rays of hope for the future.
Wakitumia mtindo wa ukusanyaji wa picha kutoka katika maeneo tofauti, wapiga picha katika mradi huu wanasimulia simulizi za maisha ya baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi: uharibifu, uokozi, misaada, ujenzi mpya, pamoja na miale ya matumaini kwa nyakati zijazo.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
At the last EU-Africa Summit held in Belgium, Zambia's president Michael Chilufya Sata reiterated what other African leaders had said in the past about the West contributing to wars on the continent through the sale of guns and other military hardware.
Kwenye mkutano wa hivi karibuni wa Umoja wa Ulaya ulifanyika nchini Ubeligiji, rais wa Zambia Michael Chilufya Sata alijibu mapigo kwa kile kile ambacho viongozi wengine wa Afrika walikisema huko nyuma kuhusu Nchi za Magharibi kuchangia vita barani humu kupitia biashara ya sialaha na vifaa vingine vya kivita.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: