Google fragen

Sie suchten nach: conventions (Englisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

(e) To prohibit ratification of any international treaties, conventions, protocols and declarations which are contrary or inconsistent with the provisions of this Act;

Swahili

(e) Kuzuia makubaliano ya mkataba wowote wa kimataifa, mikutano na matamko ambayo yanapingana au hayakubaliani na vipengele vya sheria hii;

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

This post will be the first in a series of publications that will address the different ways of dealing with art censorship, based on the stories of Erika Ordosgoitti and other artists who have been restrained by social networks' terms of service and by social conventions.

Swahili

Makala hii itakuwa ya kwanza katika mfululizo wa machapisho yatakayojadili namna mbalimbali za kushughulikia suala la kudhibitiwa kwa sanaa hii, kwa kutumia masimulizi ya Erika Ordosgoitti na wasanii wnegine waliobanwa na masharti na vigezo vya mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na makubaliano ya kijamii.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

In addition to newly constructed hospitals, China also converted 14 other facilities in Wuhan, such as convention centers and stadiums, into temporary hospitals.On 26 January, the government instituted further measures to contain the COVID-19 outbreak, including issuing health declarations for travellers and extending the Spring Festival holiday.

Swahili

Zaidi ya hospitali mpya zilizojengwa, Uchina pia ilibadilisha majengo 14 mengine Wuhan, kama vile ukumbi wa mikutano na viwanja, kuwa hospitali za muda.Mnamo 26 Januari, serikali ilianzisha hatua zaidi kudhibiti mlipuko wa COVID-19, pamoja na kutoa vyeti vya afaya ya usafiri kwa wasafiri na kuongeza muda wa likizo ya Sherehe ya Masika.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

As the world's nations gather today in Copenhagen for the United Nations Convention on Climate Change, Madagascar, having already lost 90% of its original forest, faces continued threats from black market logging.

Swahili

Wakati mataifa ya dunia yanakutana leo huko Copenhagen kwa ajili ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya tabianchi, Madagascar, ambayo imekwishapoteza 90% ya misitu yake ya asili, inakabiliwa na tishio la biashara ya magendo ya magogo.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Broken elephant tusk found in Hwange National Park in Zimbabwe, by Terry FeuerbornOpposition is mounting against Zambia's and Tanzania's proposals to be allowed by CITES, the Convention on International Trade in Endangered Species of Wild Fauna and Flora, to sell their government held ivory stockpiles.

Swahili

Pembe ya ndovu iliyovunjika iliyopatikana kwenye Hifadhi ya Taifa ya Hwange nchini Zimbabwe, Na Terry Feuerborn Upinzani unaongezeka dhidi ya mapendekezo ya Zambia na Tanzania ya kuruhusiwa na Makubaliano ya Biashara ya Kimataifa ya Makundi ya Mimea na Wanyama Walio Katika Hatari ya Kutoweka (CITES), kuuza hifadhi ya pembe za ndovu walizonazo.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Carlos Macas (@CarlosMacas19) mentioned one of the changes to the Inter-American Commission on Human Rights (IACHR) that Correa proposes : change the headquarters from Washington to a country in the region that has joined the American Convention on Human Rights (also known as the Pact of San José).

Swahili

Carlos Macas (@CarlosMacas19) alitaja moja wapo ya mabadiliko ya Tume ya Pamoja Kimarekani kwa Haki za Binadamu (IACHR) kwamba Correa alipendekeza : mabadiliko ya makao makuu kutoka Washngton kwenda kwenye nchi iliyopo kwenye bara hilo ambayo ilijiunga na Tume ya Pamoja ya Kimarekani kwa Haki za Binadamu (inayofahamika pia kama Maridhiano ya San José).

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Despite the active crackdown of ivory smugglers by the Hong Kong Customs and Excise Department in the implementation of the Convention on International Trade in Endangered Species of Wild Fauna and Flora (CITES), it has been difficult for the authorities to identify and prosecute the smugglers.

Swahili

Pamoja na hatua kali dhidi ya wahalifu wa pembe za ndovu zinazochukuliwa na Idara ya Uhamiaji ya Hong Kong na Idara ya Forodha katika kutekeleza Tamko la Biashara ya Kimataifa la Viumbe Waliohatarini Kutoweka (CITES), imekuwa vigumu kwa mamlaka kuwatambua na kuwashitaki waingizaji wa bidhaa hiyo.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

Leung Chun-ying only got 17.8% of the votes, a huge contrast with the result of small circle election, which was held in the Hong Kong Convention and Exhibition Center.

Swahili

Leung Chun-ying alipata tu asilimia 17.8 ya kura zote, ambapo matokeo yalikuwa kinyume kabisa na uchaguzi wa kundi lile dogo la wateule, ambao uliendeshwa katika Kituo cha Mikutano na Maonyesho cha Hong Kong.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

On February 23, 2012, the European Court of Human Rights in Strasbourg has come to a historic judgment, that Italy violated the European Convention on Human Rights by intercepting and sending back Eritrean and Somali migrants to Libya.

Swahili

Mahakama hii iliamua kwamba nchi ya Italia ilikiuka sheria za Mkataba wa Ulaya wa Haki za Binadamu ilipowakamata wakimbizi Waeritrea na Wasomali na kuwarudisha Libya.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

The Mauritanian Ministry of Education arbitrarily transferred dozens of secondary education teachers because of their participation in legitimate strikes which is considered a dangerous violation of the rights of syndicate members, especially the right to demonstrate, which is guaranteed by article 14 in the constitution and by the international agreements signed by our country, such as the the International Labor Convention number 87, which is related to syndicate freedoms.

Swahili

Wizata ya Elimu ya Mauritania imewahammisha kiholela makumi ya walimu wa sekondari kwa sababu ya ushiriki wao katika mgomo halali. hatua inayoonekana kuwa ni uvunjifu wa hatari wa haki za wanachama wa baraza hilo, hususani haki ya kuandamana, inayolindwa na ibara ya 14 ya katiba na pia inalindwa na mikataba ya kimataifa iliyotiwa saini na nchi yetu, kama Makubaliano ya Kimataifa ya Kazi namba 87, ambayo yanakuhusiana na haki za baraza.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

The Philippines is a signatory to the Convention on the Rights of the Child and other international instruments that aim to promote the welfare of children.

Swahili

Ufilipino ni moja ya nchi iliyoingia mkataba wa Makubaliano kuhusu Haki za Mtoto pamoja na kwenye t mashirika mengie ya kimataifa yaliyo na malengo ya kulinda mustakabali wa watoto.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

To kick things off we look at how bloggers responded to International Anti-Corruption Day, which was signed into law in 2003 at the United Nations Convention against Corruption and takes place every year on December 9th.

Swahili

Kwa kuanza tunaangalia jinsi wanablogu walivyoitikia Siku ya Kimataifa Dhidi ya Rushwa, ambayo ilitiwa saini kuwa sheria mwaka 2003 kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa Dhidi ya Rushwa na huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Disemba.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

for the promotion, adoption and ratification of the United Nations Convention on disabled people.

Swahili

kwa kutangazwa, kupitishwa na kuridhiwa kwa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za walemavu.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
4,401,923,520 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK