Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
but they differed.
lakini walikhitalifiana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but the factions among them differed.
lakini makundi kwa makundi yao yalikhitalifiana wao kwa wao.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but the factions differed among themselves.
lakini makundi kwa makundi yao yalikhitalifiana wao kwa wao.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
yet different groups differed among themselves.
lakini makundi yakakhitalifiana wao kwa wao.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but the various factions differed among themselves.
lakini makundi yakakhitalifiana wao kwa wao.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but they would still have differed from one another,
lakini hawaachi kukhitalifiana,
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but they differed, some of them believing and some disbelieving.
lakini walikhitalifiana. basi wapo kati yao walio amini, na wengine kati yao walio kufuru.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
and mankind were not but a single ccmmunity then they differed.
wala watu hawakuwa ila umma mmoja tu. kisha wakakhitalifiana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
the sabbath was decreed only for those who differed about it.
hakika siku ya sabato (jumaamosi) waliwekewa wale walio khitalifiana kwa ajili yake.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but they differed, and some of them believed and some of them disbelieved.
basi wapo kati yao walio amini, na wengine kati yao walio kufuru.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
so they differed with one another in their task, and secretly conferred.
basi wakazozana kwa shauri yao wenyewe kwa wenyewe, na wakanong'ona kwa siri.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but they differed among themselves; some believed, and others disbelieved.
basi wapo kati yao walio amini, na wengine kati yao walio kufuru.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but they have broken up and differed as regards their religion among themselves.
nao wakalikata jambo lao hili mapande mapande baina yao.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
on the day of resurrection allah will judge among them regarding what they had differed.
hakika mola wako mlezi atahukumu baina yao siku ya kiyama katika mambo waliyo kuwa wakikhitalifiana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
(before) mankind were but one nation, then they differed with one another.
wala watu hawakuwa ila umma mmoja tu. kisha wakakhitalifiana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
allah by his grace guided the believers to the truth, concerning that wherein they differed.
ndipo mwenyezi mungu kwa idhini yake akawaongoa walio amini kwendea haki katika mambo waliyo khitalifiana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
and allah by his will guided those who believe unto the truth of that concerning which they differed.
ndipo mwenyezi mungu kwa idhini yake akawaongoa walio amini kwendea haki katika mambo waliyo khitalifiana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
so be not like those who became disunited and differed among themselves after clear proofs had come to them.
wala msiwe kama wale walio farikiana na kukhitalifiana baada ya kuwafikia hoja zilizo wazi.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
allah only trieth you thereby, and he verily will explain to you on the day of resurrection that wherein ye differed.
hakika mwenyezi mungu anakujaribuni kwa njia hiyo. na bila ya shaka atakubainishieni siku ya kiyama mliyo kuwa mkikhitalifiana.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
in order that he may make clear to them the matter in which they differed, and the disbelievers may realise that they were liars.
ili kuwabainishia yale waliyo khitalifiana, na ili wajue walio kufuru kwamba wao walikuwa ni waongo.
Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: