Sie suchten nach: helicopter (Englisch - Swahili)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

English

Swahili

Info

English

helicopter

Swahili

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

the moment the helicopter exploded.

Swahili

wakati helikopta inalipuka.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

we have cleared a soccer field for helicopter landing.

Swahili

tumeondoa kila kitu kutoka kwenye uwanja wa mpira ili kuruhusu helikopta kutua hapo.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

military helicopter flying above pic.twitter.com/smbqfvqkao

Swahili

helkopta ya kijeshi iliruka angani pic.twitter.com/smbqfvqkao

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

local children ready to chat to paras leaving the helicopter landing site.

Swahili

watoto wa nchi hiyo wakiwa tayari kuzungumza na paras anayeondoka eneo hilo la kutua kwa helkopta.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

luckily all our guys are safe but hanging from trees and at hilltops waiting to be rescued by helicopter!

Swahili

kwa bahati wenzetu hao wako salama lakini wananing’inia kwenye miti iliyo juu ya vilima wakisubiri kuokolewa na helikopta!

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

president edgar lungu on a helicopter ride viewing the south luangwa national park during a holiday he took two weeks into office.

Swahili

rais edgar lungu akiwa kwenye helikopta akiangalia hifadhi ya wanyama ya luangwa kusini wakati wa likizo yake aliyoichukua majuma mawili tu baada ya kushika madaraka.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

the pilot and staff who helped maintain the helicopter were charged with the crime, while police rapidly dismissed the possibility of any involvement by the perrella family.

Swahili

rubani na wafanyakazi waliohusika na mpango huo walishtakiwa kwa makosa ya jinai, na polisi kufanya jitihada za kuiepusha familia ya perrella na sakata hilo.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

the documentary investigates one of the largest drug seizures by police in brazil’s history, in which half a ton of cocaine was found in a helicopter belonging to the powerful perrella family.

Swahili

filamu hiyo inachunguza tukio la kukamatwa kwa madawa ya kulevya na polisi, ambalo ni tukio kubwa kuwahi kutokea katika historia ya brazili, ambapo kiasi cha nusu tani za dawa za kulevya kiligundulika kwenye helkopta inayomilikiwa na familia tajiri na yenye nguvu ya perrella.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

nadiya savchenko, the helicopter pilot whom separatists captured in ukraine and transferred to voronezh earlier this month, now sits in a russian detention center, accused of participating in the attack that killed the vgtrk reporters.

Swahili

nadiya savchenko, rubani wa helkopta ambaye waasi walimkamata nchini ukraine na kumsafirisha kwenye voronezh mapema mwezi huu, sasa anashikiliwa kwenye mahabusu ya urusi, akituhumiwa kushiriki mashambulizi yalisababisha kuuawa kwa waandishi wa vgtrk.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

three helicopters (two ka-27 and one mi-8) landed at the kacha airport and passed through the border and customs established procedures according to an application made preliminarily.

Swahili

helkopita tatu (mbili ka-27 na moja mi-8) ilitua kwenye uwanja wa ndege wa kacha na kuvuka mpaka na utaratibu uliopo wa kudhibiti forodha kwa mujibu wa maombo yaliyoweka mwanzoni.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,762,854,759 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK