Sie suchten nach: manifested (Englisch - Swahili)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

English

Swahili

Info

English

manifested

Swahili

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

and endowed with wisdom; who in time manifested himself;

Swahili

mwenye kutua, akatulia,

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

we have already manifested the signs unto the people who would be convinced.

Swahili

nyoyo zao zimefanana. hakika sisi tumeziweka wazi ishara kwa watu wenye yakini.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

and ye know that he was manifested to take away our sins; and in him is no sin.

Swahili

mnajua kwamba kristo alikuja kuziondoa dhambi zetu, na kwamba kwake hamna dhambi yoyote.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

and when his lord manifested himself on the mountain, he broke it into pieces and moses fell down unconscious.

Swahili

ukibaki pahala pake basi utaniona. basi alipo jionyesha mola mlezi wake kwa mlima, aliufanya uvurugike, na musa akaanguka chini amezimia.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

when his lord manifested his glory on the mount, he made it as dust. and moses fell down in a swoon.

Swahili

ukibaki pahala pake basi utaniona. basi alipo jionyesha mola mlezi wake kwa mlima, aliufanya uvurugike, na musa akaanguka chini amezimia.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

but hath in due times manifested his word through preaching, which is committed unto me according to the commandment of god our saviour;

Swahili

na wakati ufaao ulipowadia, akaudhihirisha katika ujumbe wake. mimi nilikabidhiwa ujumbe huo nuutangaze kufuatana na amri ya mungu, mwokozi wetu.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

lo! those who turn back after the guidance hath been manifested unto them, satan hath seduced them, and he giveth them the rein.

Swahili

kwa hakika wanao rudi nyuma baada ya kwisha wabainikia uwongofu, shetani huyo amewashawishi na amewaghuri.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

for there is nothing hid, which shall not be manifested; neither was any thing kept secret, but that it should come abroad.

Swahili

basi, kila kilichofichwa kitafichuliwa, na kila kilichofunikwa kitafunuliwa.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

i have manifested thy name unto the men which thou gavest me out of the world: thine they were, and thou gavest them me; and they have kept thy word.

Swahili

"nimekufanya ujulikane kwa watu wale ulionipa kutoka duniani. walikuwa watu wako, nawe ukanipa wawe wangu; nao wamelishika neno lako.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

he that committeth sin is of the devil; for the devil sinneth from the beginning. for this purpose the son of god was manifested, that he might destroy the works of the devil.

Swahili

lakini atendaye dhambi ni wa ibilisi, maana ibilisi ametenda dhambi tangu mwanzo. lakini mwana wa mungu alikuja duniani kuiharibu kazi ya ibilisi.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

lo! those who disbelieve and turn from the way of allah and oppose the messenger after the guidance hath been manifested unto them, they hurt allah not a jot, and he will make their actions fruitless.

Swahili

kwa hakika walio kufuru na wakazuilia njia ya mwenyezi mungu na wakapinzana na mtume baada ya kwisha wabainikia uwongofu, hao hawatamdhuru mwenyezi mungu kwa lolote. naye ataviangusha vitendo vyao.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

and whoso opposeth the messenger after the guidance (of allah) hath been manifested unto him, and followeth other than the believer's way, we appoint for him that unto which he himself hath turned, and expose him unto hell - a hapless journey's end!

Swahili

na anaye mpinga mtume baada ya kumdhihirikia uwongofu, na akafuata njia isiyo kuwa ya waumini, tutamuelekeza aliko elekea, na tutamuingiza katika jahannamu. na hayo ni marejeo maovu.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,773,604,971 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK