Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
namita singh is a researcher and consultant focused on participatory media.
namita singh ni mtafiti na mshauri anayechunguza vyombo vya habari shirikishi.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
namita will soon begin her ph.d. research in the uk on the processes and impact of participatory video.
namita anatarajia kuanza masomo yake ya shahada ya uzamivu (ph.d) ya utafiti huko uingereza kuhusu michakato na taathira ya video shirikishi.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
but the soul of gv are the hundreds of volunteers who take time out from their jobs, studies, and and family obligations to help build a more open and participatory global public discourse.
lakini roho ya ya gv ni mamia ya watu wanaojitolea ambao wanatenga muda kutoka kwenye kazi zao, masomo, na majukumu ya kifamilia ili kusaidia kujenga majadiliano ya umma wa dunia yaliyo huru zaidi na shirikishi.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
along with an original introduction which gives broader context on the issue, this e-book includes 13 posts in english (other language editions are currently underway) which cover greece, spain, portugal, italy and other european countries, affected by the banking and euro crisis, through the lens of participatory online media.
makala hizo zimeandikwa kuhusu ugiriki, hispania, ureno, italia na nchi nyingine za ulaya, hasa zilizoathiriwa na mgogoro wa kibenki na sarafu ya euro, na mgogoro huo unatazamwa kupitia darubini ya ushiriki wa vyombo vya habari vya kiraia vya mtandaoni.
Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: