Sie suchten nach: restaurant (Englisch - Swahili)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

English

Swahili

Info

English

restaurant

Swahili

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

one burst into the restaurant and opened fire.

Swahili

mtu mmoja alilipua bomu kwenye mkahawa.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

m-pesa payment till at a restaurant in kenya.

Swahili

mahali pa kufanyia malipo ya m-pesa kwenye hoteli nchini kenya.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

some people died in the restaurant itself, as it caved in.

Swahili

baadhi ya watu walifia kwenye mgahawa huo baada ya kuporomokea ndani.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

she was in a restaurant at the time the earthquake started, so there was a lot of panic.

Swahili

yeye alikuwa kwenye mgahawa wakati tetemeko la ardhi lilipotokea, kwa hiyo kulikuwa na kuhamaki kwingi.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

laura vidal was a block away at a bar when the first attack took place at a restaurant on november 13 in paris.

Swahili

laura vidal alikuwa baa mtaa wa pili na eneo ambalo mashambulizi yalitokea.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

the attack took place around midnight in a restaurant called la terrasse in downtown bamako and a dozen people are seriously injured.

Swahili

shambulio hilo lilifanyika usiku wa maneno kwenye mkahawa unaoitwa took terrasse kwenye mitaa ya bamako na watu zaidi ya kumi wamejeruhiwa vibaya.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

because jos was so politically polarized, the women met on "neutral ground" — in a restaurant.

Swahili

kwa sababu jos ilikuwa imeathirika sana kisiasa, wanawake hao walikutana katika 'eneo lisilo na upande' — hotelini.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

the restaurant, the most high end of the half dozen or so ethiopian restaurants within 500 meters, sits at the intersection of ggaba road and tank hill road.

Swahili

mgahawa, upo upande wa juu wa kiasi cha nusu dazeni au zaidi kidogo ya mighahawa ya ki-ethiopia ndani ya kiasi cha mita 500, ipo katikati ya makutano ya barabara ya ggaba na ile ya tank hill.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

a shooting in a restaurant in bamako, capital city of mali, claimed the lives of five people on friday night, march, 6.

Swahili

shambuliko la kigaidi lilitekelezwa kwenye mgahawa jijini bamako, makao makuu ya mali, limechukua maisha ya watu watano usiku wa siku ya ijumaa mnamo machi, 6.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu mimi omary juma nimeamua mwenyew kwa ridhaa yangu bila ya kushawishiwa na mtu kulazimishwa na mtu niamua kuacha kazi leo katika restaurant ya dm napenda kumshukuru oungozi kwa kunipokea napenda kuomba radhi pale nilipokosea mnisamehe na pale mliponikosea nimesamehe naomba uongozi upikee barua yangu na asante

Swahili

Letzte Aktualisierung: 2023-08-09
Nutzungshäufigkeit: 4
Qualität:

Englisch

alimou sow, a guinean blogger, decided to eat some pizza with his wife and some friends at a small restaurant in the upper suburbs of conakry, guinée's capital.

Swahili

alimou sow, ni mwanablogu wa guinea, aliyeamua kula pizza akiwa na mke wake pamoja na baadhi ya marafiki zake katika mgahawa mdogo ulioko pembezoni mwa conakry, mji mkuu wa guinea.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Englisch

restaurants

Swahili

nyingi

Letzte Aktualisierung: 2020-09-14
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Eine bessere Übersetzung mit
7,762,631,949 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK