Sie suchten nach: saints (Englisch - Swahili)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Englisch

Swahili

Info

Englisch

saints

Swahili

mtakatifu

Letzte Aktualisierung: 2012-09-19
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

all the saints salute you.

Swahili

(g13-12) watu wote wa mungu huku wanawasalimuni.

Letzte Aktualisierung: 2024-04-14
Nutzungshäufigkeit: 31
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

distributing to the necessity of saints; given to hospitality.

Swahili

wasaidieni watu wa mungu katika mahitaji yao; wapokeeni wageni kwa ukarimu.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

for as touching the ministering to the saints, it is superfluous for me to write to you:

Swahili

si lazima kuandika zaidi kuhusu huduma hiyo yenu kwa ajili ya watu wa mungu.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

for god is not the author of confusion, but of peace, as in all churches of the saints.

Swahili

maana mungu si mungu wa fujo, ila wa amani.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

@sheikhofeffizy: #dominionair...no fones or bb on board and carries only saints...

Swahili

@sheikhofeffizy: #dominionair…hakuna simu ndani ya ndege na inabeba watakatifu peke yao...

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

hearing of thy love and faith, which thou hast toward the lord jesus, and toward all saints;

Swahili

maana nasikia habari za imani yako kwa bwana wetu yesu na upendo wako kwa watu wote wa mungu.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

and it came to pass, as peter passed throughout all quarters, he came down also to the saints which dwelt at lydda.

Swahili

petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa mungu waliokuwa wanaishi luda.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

and he gave her his hand, and lifted her up, and when he had called the saints and widows, presented her alive.

Swahili

petro akamsaidia kusimama, halafu akawaita wale watu wa mungu na wale wajane, akamkabidhi kwao akiwa mzima.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

then ananias answered, lord, i have heard by many of this man, how much evil he hath done to thy saints at jerusalem:

Swahili

lakini anania akajibu, "bwana, nimesikia habari za mtu huyu kutoka kwa watu wengi; nimesikia juu ya mabaya aliyowatendea watu wako huko yerusalemu.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Englisch

one who obeys god and the messenger is the friend of the prophets, saints, martyrs, and the righteous ones to whom god has granted his favors.

Swahili

na wenye kumt'ii mwenyezi mungu na mtume, hao wa pamoja na wale alio waneemesha mwenyezi mungu miongoni mwa manabii, na masiddiqi, na mashahidi, na watu wema.

Letzte Aktualisierung: 2014-07-03
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

someone even painted one of the shooters in the style of an orthodox icon, complete with golden nimbus, perhaps playing off of the boondock saints comparison:

Swahili

mwingine alimpaka rangi mmoja wa wahalifu katika michoro ya ki-orthodox, ili apewe hadhi ya kidini, labda alifanya mchezo wa kuifananisha na filamu ya watakatifu wa boondock:

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

and i saw the woman drunken with the blood of the saints, and with the blood of the martyrs of jesus: and when i saw her, i wondered with great admiration.

Swahili

nikamwona huyo mwanamke amelewa damu ya watu wa mungu, na damu ya watu waliouawa kwa sababu ya kumtangaza yesu. nilipomwona nilishangaa mno.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Englisch

saint

Swahili

mtakatifu

Letzte Aktualisierung: 2015-05-23
Nutzungshäufigkeit: 11
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Eine bessere Übersetzung mit
7,747,397,822 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK