Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.
Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.
ehk kuidas sa v
au, unawezaje kumwambia mwenzako, ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi katika jicho lako, na huku huioni boriti iliyoko katika jicho lako mwenyewe? mnafiki wewe! toa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako, na hivyo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho katika jicho la ndugu yako.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kuidas sobib kristus ühte beliariga? v
kristo anawezaje kupatana na shetani? muumini ana uhusiano gani na asiyeamini?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kui saatangi on riius isekeskis, kuidas v
kama shetani anajipinga mwenyewe, utawala wake utasimamaje? mnasemaje, basi, kwamba ninawafukuza pepo kwa uwezo wa beelzebuli?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kuidas siis läheksid kirjad täide, et see n
lakini yatatimiaje maandiko matakatifu yasemayo kwamba ndivyo inavyopaswa kuwa?"
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
aga maarja ütles inglile: „kuidas see v
maria akamjibu, "yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?"
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
siis ta ütles neile: „kuidas te siis ei m
basi, akawaambia, "na bado hamjaelewa?"
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
kuidas meie ülempreestrid ja vanemad on annud ta surma m
makuhani na watawala wetu walimtoa ahukumiwe kufa, wakamsulubisha.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
kui nad vaatavad, kuidas te elate jumalakartuses puhast elu.
kwani wataona jinsi mwenendo wenu ulivyo safi na wa kumcha mungu.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
taavet nimetab siis teda issandaks, ja kuidas ta on tema poeg?”
ikiwa daudi anamwita yeye, bwana, basi atakuwaje mwanawe?"
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
ja viibates isale küsisid nad, kuidas tema tahaks teda nimetada.
basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aga kui te tema kirju ei usu, kuidas te siis usuksite minu sõnu?”
lakini hamuyaamini yale aliyoandika, mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?"
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
aga kui kristusest kuulutatakse, et ta on surnuist üles äratatud, kuidas siis m
sasa, maadam inahubiriwa kwamba kristo amefufuliwa kutoka wafu, baadhi yenu wanawezaje kusema kwamba hakuna ufufuo wa wafu?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aga mind peab ristitama ristimisega, ja kuidas on mul kitsas käes, kuni see on l
ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aga ta ütles neile: „kuidas üteldakse kristus olevat taaveti poeg,
yesu akawauliza, "yasemekanaje kwamba kristo ni mwana wa daudi?
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
aga kui teid viiakse kogudusekodadesse ja ülemate ja valitsejate ette, ärge olge mures, kuidas v
"watakapowapeleka ninyi mbele ya masunagogi na mbele ya wakuu na watawala msiwe na wasiwasi juu ya jinsi mtakavyojitetea au jinsi mtakavyosema.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung
igal esimesel nädalapäeval pangu igaüks teie seast midagi tallele sedamööda, kuidas temal on j
kila jumapili kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha kadiri ya mapato yake, ili kusiwe na haja ya kufanya mchango wakati nitakapokuja.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
ja nemad ise jutustasid, mis teel oli sündinud ja kuidas nad tema olid leiva murdmisest ära tunnud.
basi, hao wafuasi wawili wakawajulisha yale yaliyowapata njiani, na jinsi walivyomtambua katika kumega mkate.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aga naisemees hoolitseb selle eest, mis kuulub maailmale, kuidas ta saaks olla naise meele järgi.
mtu aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia jinsi atakavyompendeza mkewe,
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aga tähele pannes, kuidas need, kes olid kutsutud, valisid ülemaid istekohti, rääkis ta neile tähendamiss
yesu aliona jinsi wale walioalikwa walivyokuwa wanajichagulia nafasi za heshima, akawaambia mfano:
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:
aga kahe päeva pärast olid paasaja hapnemata leibade pühad, ja ülempreestrid ja kirjatundjad otsisid, kuidas kavalusega teda kinni v
ilikuwa siku mbili tu kabla ya sikukuu ya pasaka na ya mikate isiyotiwa chachu. makuhani wakuu na walimu wa sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumtia yesu nguvuni kwa hila wamuue.
Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität: