Sie suchten nach: alifanya (Swahili - Arabisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

alifanya

Arabic

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Arabisch

Info

Swahili

wakati amekamatwa, alifanya mgomo wa kula.

Arabisch

وأثناء احتجازها، بدأت بإضراب عن الطعام.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya paulo.

Arabisch

‎وكان الله يصنع على يدي بولس قوات غير المعتادة‎.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

ingawa yesu alifanya miujiza hii yote mbele yao, wao hawakumwamini.

Arabisch

ومع انه كان قد صنع امامهم آيات هذا عددها لم يؤمنوا به.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kwa vile yesu alifanya jambo hilo siku ya sabato, wayahudi walianza kumdhulumu.

Arabisch

ولهذا كان اليهود يطردون يسوع ويطلبون ان يقتلوه لانه عمل هذا في سبت.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kila sabato alifanya majadiliano katika sunagogi akijaribu kuwavuta wayahudi na wagiriki.

Arabisch

‎وكان يحاج في المجمع كل سبت ويقنع يهودا ويونانيين‎.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

alifanya hivyo, maana alijisemea, "nikigusa tu vazi lake, nitapona."

Arabisch

لانها قالت ان مسست ولو ثيابه شفيت.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

hivyo, yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.

Arabisch

فلما استيقظ يوسف من النوم فعل كما امره ملاك الرب واخذ امرأته.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

alifanya hivyo kwani alifikiri moyoni: "nikigusa tu vazi lake, nitapona."

Arabisch

لانها قالت في نفسها ان مسست ثوبه فقط شفيت.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

asilimia 90 ya wamisri hawaamini kuwa alifanya na mahakama inapaswa kuwaeleza wamisri msingi wa hukumu hii!!!

Arabisch

90% من المصريين من لا يعتقدون أنه فعلها، والمحكمة تدين للمصرين بتوضيح ما تم الاستناد عليه لهذا الحكم! !

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

yesu alifanya ishara hii ya kwanza huko kana, galilaya, akaonyesha utukufu wake; nao wanafunzi wake wakamwamini.

Arabisch

هذه بداية الآيات فعلها يسوع في قانا الجليل واظهر مجده فآمن به تلاميذه

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kisha yesu akaanza kuilaumu miji ambayo, ingawaje alifanya miujiza mingi humo, watu wake hawakutaka kubadili nia zao mbaya:

Arabisch

حينئذ ابتدأ يوبّخ المدن التي صنعت فيها اكثر قواته لانها لم تتب.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

blinky alifanya mageuzi makubwa kwa kuja na namna yake mpya ambayo janowitz anaiita "pop-art indigenous."

Arabisch

لقد قام بلنكلي بقلب الموت إلى فن بأسلوب متميز وفريد من نوعه مستوحى من فنون البوب للشعوب الأصلية.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

yosefu pia alifanya safari kutoka mjini nazareti mkoani galilaya. kwa kuwa alikuwa wa jamaa na ukoo wa daudi alikwenda mjini bethlehemu mkoani yuda alikozaliwa mfalme daudi.

Arabisch

فصعد يوسف ايضا من الجليل من مدينة الناصرة الى اليهودية الى مدينة داود التي تدعى بيت لحم لكونه من بيت داود وعشيرته

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii isaya yatimie: "yeye mwenyewe ameondoa udhaifu wetu, ameyachukua magonjwa yetu."

Arabisch

لكي يتم ما قيل باشعياء النبي القائل هو اخذ اسقامنا وحمل امراضنا

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

kiongozi wa upinzani nchini misri dr mohamed el baradei alifanya ziara fupi kwa maelfu ya waandamanaji wanaompinga mubarak, walioweka kambi kwenye viwanja vya tahrir jijini cairo, dakika chache zilizopita.

Arabisch

ذهب عضو المعارضة المصرية الدكتور محمد البرادعي في زيارة قصيرة إلى الآلاف من المتظاهرين المعارضين لحسني مبارك والذين تجمعوا في ميدان التحرير في القاهرة.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hapo awali herode mwenyewe alikuwa ameamuru yohane atiwe nguvuni, akamfunga gerezani. herode alifanya hivyo kwa sababu ya herodia ambaye herode alimwoa ingawaje alikuwa mke wa filipo, ndugu yake.

Arabisch

لان هيرودس نفسه كان قد ارسل وامسك يوحنا واوثقه في السجن من اجل هيروديا امرأة فيلبس اخيه اذ كان قد تزوج بها.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hisham amekuwa mstari wa mbele kabisa katika ulimwengu wa kublogu nchini morocco kwa takribani miaka kumi. alikuwa mwanzilishi wa miradi kadhaa ya uanahabari wa kiraia ikiwemo talk morocco na mamfakinch, na pia alifanya kazi kama mkurugenzi wa kitengo cha utetezi cha global voices.

Arabisch

هشام رائد في التدوين المغربي منذ ما يقرب من عشر سنوات، وشارك في تأسيس مشاريع إعلام مواطن مثل مامفاكينش وتوك موروكو، وعمل مديرًا لمشروع دفاع الأصوات العالمية.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

herode alipogundua kwamba wale wataalamu wa nyota walikuwa wamemhadaa, alikasirika sana. akaamuru watoto wote wa kiume mjini bethlehemu na kandokando yake wenye umri wa miaka miwili na chini yake wauawe. alifanya hivyo kufuatana na muda aliopata kujua kutoka kwa wale wataalamu wa nyota.

Arabisch

حينئذ لما رأى هيرودس ان المجوس سخروا به غضب جدا. فارسل وقتل جميع الصبيان الذين في بيت لحم وفي كل تخومها من ابن سنتين فما دون بحسب الزمان الذي تحققه من المجوس.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-05
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

bila kujali mashaka dhidi ya wanajeshi waislamu yaliyokuwapo kabla ya shambulizi hili, mtu anaweza kuwa na hofu kwamba mashaka hayo yamepata msukumo mpya baada ya mauaji ya watu kule fort hood. maswali bado yanaendelea kuibuliwa endapo meja hassan alikuwa mwenye siasa kali na ambaye alifanya mashambulizi hayo kwa msukumo wa itikadi ya kidini au labda tu alikuwa na tatizo la kiakili.

Arabisch

مهما كان وضع الشكوك حول المسلمين قبل حادثة إطلاق النار، الشيء الوحيد الأكيد والذي يخشى منه هو أنّ هذه الشكوك ستتضاعف، ولا تزال الأسئلة تدور حول ما إذا كان الرائد نضال حسن متطرفاً قام بالهجوم بناء على أيديولوجية دينية، أو أنّه ببساطة مختل عقلياً.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

katika video hii hapa chini, iliyowekwa na kampeni ya witness katika you tube mnamo tarehe 13 machi, siku moja kabla ya hukumu, bukeni anazungumza na madeleine, mtoto aliyepata kuwa “askari” huko kongo mashariki, ambapo alifanya mbinu za kumwondoa msichana huko kutoka kwenye vikosi vya wapiganaji akiwa na umri wa miaka 15 na kisha kumwasili.

Arabisch

في الشريط الذي بالأسفل، حملته منظمة ويتنيس على موقع يوتيوب في الثالث عشر من مارس/آذار، يتحدث بوكيني مع مع مادلينا، التي كانت طفلة مجندة في شرق جمهورية الكونجو الديمقراطية، وكان عمرها خمسة عشر عام عندما تم تسريحه، قبل أن يتم تبنيها بعد ذلك.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,743,240,731 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK