Sie suchten nach: gonjwa (Swahili - Englisch)

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

gonjwa

Englisch

epidemic

Letzte Aktualisierung: 2012-01-23
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Wikipedia

Swahili

ka gari halifai kuna toyo, na tukichoka dar twende moro, usinipe gonjwa la moyo,

Englisch

Letzte Aktualisierung: 2021-05-16
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

siyo tu kwa serikali ya guinea wala mashirika yasiyo ya kiserikali ya kimataifa yangeweza kufaidika kwa kutengeneza aina hii ya gonjwa linalotisha.

Englisch

neither the guinean authorities nor the international non-governmental organizations could profit by inventing a terrifying epidemic like that.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

watu wa afrika ya magharibi, ukanda ambao gonjwa hili la mlipuko lilianzia, wako chini ya uangalizi mkali wa wataalamu wa afya wa kimataifa.

Englisch

the people of west africa, where the epidemic began, are under surveillance by international health authorities.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

guinea, ambayo tayari ilishakabiliwa na tatizo kubwa la kiuchumi miongoni mwa raia wake kabla ya kulipuka kwa ugonjwa huu, hadi sasa imeshaathiriwa vibaya na gonjwa hili. has suffered the brunt of the epidemic.

Englisch

guinée, which was already in the throes of severe socioeconomic problems before the virus' outbreak, has suffered the brunt of the epidemic.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym

Swahili

serikali ya mbeki ilikataa katakata kuona uhusiano uliopo kati ya vvu na ukimwi, na waziri wake wa afya alijenga hoja kwamba hata dawa za kurefusha maisha, ambazo kwa kweli zimeonyesha kusaidia katika juhudi za kukabili gonjwa hili, zilikuwa ghali mno ... wataalamu wa afya wanaofanya kazi nchini afrika ya kusini na ambao walipingana waziwazi na nadharia za kushangaza za waziri huyu walijikuta wakifanywa kuwa wahanga."

Englisch

mbeki’s government refused to accept the role the hiv virus has in the spread of aids, and his health minister stated that anti-retroviral drugs, which have been shown to have some effect in fighting the disease, were too expensive…medical professionals working in the south african health service who publicly disagreed with the minister’s bizarre theories have been victimised."

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Referenz: Anonym
Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Eine bessere Übersetzung mit
7,780,087,964 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK