Sie suchten nach: hasa wanafunzi wote (Swahili - Englisch)

Computer-Übersetzung

Versucht aus den Beispielen menschlicher Übersetzungen das Übersetzen zu lernen.

Swahili

English

Info

Swahili

hasa wanafunzi wote

English

 

von: Maschinelle Übersetzung
Bessere Übersetzung vorschlagen
Qualität:

Menschliche Beiträge

Von professionellen Übersetzern, Unternehmen, Websites und kostenlos verfügbaren Übersetzungsdatenbanken.

Übersetzung hinzufügen

Swahili

Englisch

Info

Swahili

wanafunzi wote wapo kimya

Englisch

they're going

Letzte Aktualisierung: 2024-01-16
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

hapo wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia.

Englisch

and they all forsook him, and fled.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

lakini haya yote yametendeka ili maandiko ya manabii yatimie." kisha wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia.

Englisch

but all this was done, that the scriptures of the prophets might be fulfilled. then all the disciples forsook him, and fled.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

wanafunzi wote wawili walipokuwa wakiwaambia hayo, yesu mwenyewe akasimama kati yao, akawaambia "amani kwenu."

Englisch

and as they thus spake, jesus himself stood in the midst of them, and saith unto them, peace be unto you.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

inakuwaje hawa wanafunzi - hasa wanafunzi walio hai kwenye siasa - hawatumii vyombo vya habari vya kijamii ambavyo vinapatikana.

Englisch

how is it that students — particularly politically-active students — are not making use of the social media tools available to them.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

lakini petro akasisitiza, "hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakuacha kamwe." wanafunzi wote pia wakasema vivyo hivyo.

Englisch

but he spake the more vehemently, if i should die with thee, i will not deny thee in any wise. likewise also said they all.

Letzte Aktualisierung: 2012-05-06
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Warnung: Enthält unsichtbare HTML-Formatierung

Swahili

ninatarajia sana kuwa wanafunzi wote wa syria wanafanya vyema kwenye vyuo vyao vipya, na wanaendelea kujitahidi zaidi ili waendelee kuiwakilisha nchi yetu vizuri kwenye fani zote, ili nchi ya syria ijisikie fahari kuwa na watu wa aina yetu siku zote.

Englisch

i very much hope that all the syrian students are doing very well in their new colleges, and are keeping up the hard work so that we can continue to represent our country very well in all fields, and so that syria will be proud of us always.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

madhara hayalingani kwa wanafunzi kutoka jamii zisizojiweza ambao wanafursa finyu za kielimu kando na shule.idadi ya wanafunzi wanaoacha shule inaonekana kuongezeka kutokana na kufungwa kwa shule kwa sababu ya changamoto ya kuhakikisha kwmaba wanafunzi wote wamerejelea masomo pindi shule zikifunguliwa.

Englisch

the disadvantages are disproportionate for under-privileged learners who tend to have fewer educational opportunities beyond school.student drop-out rates tend to increase as an effect of school closures due to the challenge of ensuring all students return to school once school closures ends.

Letzte Aktualisierung: 2020-08-25
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Swahili

kampeni ya wanafunzi ilizinduliwa mnamo desemba 7 ili kuwakumbuka wanafunzi wote ambao hawakuweza kurudi katika vyuo vikuu vya iran kwa sababu za kidini na kisiasa: baadhi walizuiwa, wengine walifukuzwa, wengine wako magerezani na wengine waliuawa mitaani.

Englisch

a student campaign was launched on december 7 to remember all those students who have been unable to return to iran's universities due to religious or political reasons: some banned, others expelled, some in prison and some of them were killed on the streets.

Letzte Aktualisierung: 2016-02-24
Nutzungshäufigkeit: 1
Qualität:

Eine bessere Übersetzung mit
7,794,287,482 menschlichen Beiträgen

Benutzer bitten jetzt um Hilfe:



Wir verwenden Cookies zur Verbesserung Ihrer Erfahrung. Wenn Sie den Besuch dieser Website fortsetzen, erklären Sie sich mit der Verwendung von Cookies einverstanden. Erfahren Sie mehr. OK